Baby nikwambie kitu? Hilo ni swali la mtego kutoka kwa wanawake.

1541845951896.jpeg
Kamati ya roho ngumu ndio tunaweza kumudu hili swali
 
Baby Nikwambie kitu?

Daima wanaume wenzangu msijibu swali hili huwa ni mtego unaotoka kwa mwanamke ukikubali tu umeliwa lazima upigwe kizinga .

Cha kufanya badili mada chap kama mlikuwa mnachati au jifanye kama haujaiona hiyo Sms.
hii ndo shida ya kuwa na mahusiano na mademu wasokuwa na kazi, kina hadija magambaa, mwajuma ndala ndefu, 😂 huwezi kwepa vizinga kama siyo mizinga
 
Baby Nikwambie kitu?

Daima wanaume wenzangu msijibu swali hili huwa ni mtego unaotoka kwa mwanamke ukikubali tu umeliwa lazima upigwe kizinga .

Cha kufanya badili mada chap kama mlikuwa mnachati au jifanye kama haujaiona hiyo Sms.
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta...
 
*Naomba tu niwakumbushe wanaume
wenzangu ya kuwa, kwa kipindi hiki cha
Krismass zile Meseji za "BABY NIKUAMBIE
KITU" Tusiwe tunajibu. Sasa Wewe jifanye una
kiburi utakuja kuelewa namaanisha nini*
 
Kama mwanamke unamuelewa na unamalemgo nae itakubidi ujibu tu ili kuokoa shari nyingine..... Nashukuru Mungu najua umuhimu wa familia yangu, Kabla sijampa pesa mwanamke lazima Mama apate pia wadogo zangu wapate imefika kipindi nimesahau hata nilihonga lini
 
Ongera sana mkuu
 
Back
Top Bottom