Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 548
- 475
Je upo tayari kubadili dini kwa sababu ya mwanamke!
Hehehehe utakuwa boli Nazungumzia dini sababu unakuta umepata binti anakwambia badili dini mimi nilikataa
Unaakili wewe.Hehehehe utakuwa boli zozo
Hata ukibadili akiingia ndani tu unarudi ulikotoka
Chkorii unataka kukonkiwa heheheUnaakili wewe.
Mahusiano ya namna hiyo ni changamoto sana
Pamoja sana mimi nilikataaa aisee analazimisha nibadili dini nikamwambia we nenda tuHuo ni utumwa na si mapenzi
Mimi nitamkonki mastaChkorii unataka kukonkiwa hehehe
DuMimi nitamkonki masta
hahahahhaahaaMfano niache kutumia safari nirudi kwenye sayona tunda
😳😳upo baba
Nipo Mamaupo baba
pamoja manInategemeana mkuu