Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakuta Watu wametongozana huko wenyewe kwa raha zao na kudanganyana Kwao na wakaanzisha Mahusiano yao wala hawakutushirikisha ila wakigombana tu wanaanza Kukimbia Mitandaoni hasa hapa Jamvini na...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika harakati zake za kupinga vitendo vya ushoga dudubaya ( konki master) amewaambia mshoga wazi kuwa hawawezi kwenda mbinguni kwani hawana marinda. Sambamba na hilo pia konki master amewataka...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
NAMSHUKURU Mungu kwa kunifanya niione wiki hii nikiwa mzima wa afya huku nikiendelea vyema na shughuli zangu za kila siku kama kawaida. Natumaini nawe hujambo na uko tayari kukisoma kile...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari zenu wana MMU. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, wivu sio jambo geni miongoni mwetu(hapa tuzungumzie kwenye suala la mahusiano) tukiwa katika mahusiano na ama wenza wetu au marafiki...
14 Reactions
36 Replies
6K Views
My name is Rogers from Dodoma university...i need a beautiful girl who can be able to refresh our minds together and make plan for the future life...if you are ready just cont me through my...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu ni kwa nini wanawake wazuri hawaombi msamaha wanapokosea!
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Madhara ya kurudiana na mpenzi wa zamani: Kwa kawaida watu walioishi kwenye mahusiano wanajua mazuri na mabaya waliyokutana nayo, wanajua kila aina ya changamoto walizopita.. Uzito wa mapenzi yao...
6 Reactions
11 Replies
5K Views
inna lillah wa inna illah rajiun. mwenye ezi mungu akufanyie wepesi babu huko uendapo amina
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wadau Naamini mmeamka salama na mnaendelea kuunga mkono juhudi za Mh kufanikisha Tz ya Viwanda na kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 Niende kwenye mada ilikuwa mwaka juzi 2016...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 na nimekua single kwa muda mrefu sasa kila nikiingiza gia kwa wanawake wengi simpati yule ninaemhitaji Mimi ni maji ya kunde,muislam na urefu wa wastani...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Habarini za muda huu wadau., Nipo serious na nitakachoandika hapa; Nina miaka 27, Mwanaume nimejiari, hali yangu ya kimaisha ni uchumi wa kati, By professional ni Software Engineer, Dini...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakuu niende moja kwa moja kwenye maada. Baada ya kupata ushauri hapa JF kuhusu yule kijana aliekuwa akimgegeda wife niliamua kufanya yafuatayo. 1. Nilipunguza mapenzi kwa 80% kwa wife niliamua...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
1. Kitambaa cha kufunga kichwani, si unajua tena nywele zinasumbua wakati wa kuoga au kulala so jipange hivo hawanaga na ukikikuta ujue kuna shida 2. Khanga nyepesi. Hata hizo hawanaga ukikuta...
35 Reactions
330 Replies
47K Views
Vile unayabinya wakati wa sex alafu unaslap ass yenyewe yanatingishika as if yamepata mtetemo wa kagera, Nilikuwa nawaza tu wadau chura wacha iitwe chura asee tena upate mtoto lainiiiiii kama...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Kitu kimoja kinanishangaza ndugu zangu, mwaka 2008 niliwahi kuwa na mahusiano na mdada nilipokuwa chuo kikuu mwaka wa kwanza alinipenda sana na mimi nilimpenda sana, tuliitana mume na mke...
4 Reactions
47 Replies
22K Views
HAKUNA WA KUOA WALA KUOLEWA SIKU HIZI WENGI WABABAISHAJI NA MATAPELI TU ,WAZAZI MMESAHAU WAJIBU. Wazazi ,watoto wenu wanaanza ngono na tabia mbovu za kishetani wakiwa bado wadogo je mnalitambua...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Unawezabisha ila ndo ukweli, kwenye haya maisha ua mahusiano watu wana historia na mapito mengi ila kuna yule uliye wahi shiriki naye kufanya mapenzi na imebaki kuwa siri yako binafsi kwani huwezi...
6 Reactions
18 Replies
5K Views
Baaah! Mmmmaaaa! Weeee Dada weee kwani jeeeee!!!
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari za mizunguko wakuu, mimi nimekua nikishangaa sana katika haya mahusiano au ndio hulka ama ni kutokana na kizazi cha sasa ambacho kinaitwa "weka tuweke" Sasa naomba nirudi kwenye main point...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Natafuta Mchumba ili baadae aje kuwa Mke wangu Awe na miaka kuanzia 25-30 kama yupo ani PM
0 Reactions
62 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…