GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,706
- 128,214
Unakuta Watu wametongozana huko wenyewe kwa raha zao na kudanganyana Kwao na wakaanzisha Mahusiano yao wala hawakutushirikisha ila wakigombana tu wanaanza Kukimbia Mitandaoni hasa hapa Jamvini na Kutuomba ushauri huku wengine wakilialia na kujuta.
Mnakera sana badilikeni.
Mbona Mimi GENTAMYCINE natongozana na Mwanamke Kimya Kimya na tukikubalina basi pia ' tunabanduana ' Kimya Kimya na hata tukija Kuachana na penyewe mwendo ni huo huo tu wa Kimya Kimya na hata tukiwa tunaonana mitaani au maeneo mengine bado pia tunapitana na kupishana Kimya Kimya huku ' tukikomana ' pia Kimya Kimya na kila mmoja kubaki na ' Machungu ' yake ya Moyoni kama siyo Rohoni Kimya Kimya.
Iweje na nyie sasa mnashindwa ' Kumalizana ' tu kwa ' style ' hii ya Kimya Kimya hadi mnakurupuka kuja Kutusumbua hapa?
Nawasilisha.