Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 553
Habari zenu ni kwa nini wanawake wazuri hawaombi msamaha wanapokosea!
Mbona unacheka mkuu[emoji847][emoji847][emoji847]
Hicho siyo kicheko mkuu!Mbona unacheka mkuu
Rafiki bado naumwa!!Daah
Rafiki bado naumwa!!
Mbona umegunaDaah
Mbona umeguna
Mtoto yupi huyo rafiki?Rafiki mpeleke huyu mtoto wako shule kwanza ndio tuongeee
Mtoto yupi huyo rafiki?
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Si huyu hapa love connect
Ndio unaenda eeh?[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hapana nimeona sana katika mahusiano ya watu wengine mwanamke ata kama amekosea yupo juu mpaka mchizi anashukaYamekukuta
Naenda kuangalia tamthilia za Kikorea![emoji4][emoji4][emoji4]Ndio unaenda eeh?