Hiki ni nini kwa wajuzi wa mambo

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,180
12,653
Habari za mizunguko wakuu, mimi nimekua nikishangaa sana katika haya mahusiano au ndio hulka ama ni kutokana na kizazi cha sasa ambacho kinaitwa "weka tuweke"

Sasa naomba nirudi kwenye main point mimi nimekua mtu wa ajabu sana kila nikikutana na binti au mdada yoyote nikimpenda basi nkimtongoza Ni lazima akubali hakatai,

Nakumbuka nilishawahi kutembea na wasichana tofauti sita within one week mpaka nikawa nashangaa nakuanza kujiuliza 'who am I"??

Nilishawahi kukutana na mabint wawili ndani ya daladala na wote ni marafiki nikapiga story na mmoja akanipa namba nilimuuliza unaenda wapi akasema anamsindikiza rafiki ake nilimwambi kwa kumtania twende zetu hom bila hiyana akamuacha rafiki ake huyo aendelee na safari tukashuka kituo kinachofuata tukaenda kumalizana.

Sasa huwa najiuliza sana mimi Nina nini na muda mwingine naweza kumuona msichana anakuja kirahsi sana naogopa maana nahisi kama katumwa au Ana maradhi anataka kuniambukiza .

Nakumbuka nilitembea na wasichana wawili mtu na ndugu yake cha ajabu wote walijuana kila mmoja wapo alikuja kuniuliza kwa wakati wake lakini nilikua Nina jibu Moja tu kuwa kama unanipenda endelea na mimi.

Nikiwa safarini sina hili wala lile kuna mwanachuo mmoja alipandia njian tukakaa wote safari ilikua nikuelekea iringa mimi binafsi sikutaka kabisa yani mazoea lakini yule mwanachuo akawa ni mtu wa story nyingi akanifanya nami nipigie nae stori nakumbuka tulifika mishale ya saa kumi na mbili akaniambia saivi siendi kulala chuo nami nikatania tu vipi nichuke room nikashangaa hakuleta magumu tukachukua gest mpaka asubuhi kila mtu akawa na hamsini zake.

Nitaendelea hapa hapa kwenye comment ya 50...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom