Vitu vya kubeba unapoenda kulala kwa mwanaume Mara ya kwanza

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,872
1. Kitambaa cha kufunga kichwani, si unajua tena nywele zinasumbua wakati wa kuoga au kulala so jipange hivo hawanaga na ukikikuta ujue kuna shida

2. Khanga nyepesi. Hata hizo hawanaga ukikuta ipo jua kuna mambo

3. Mswaki. Jikeep clean yaani hata ukipewa maji tu ukimaliza kunywa swaki. Harufu mbaya mbaya inaweza ikakufanya ukatolewa mjengoni kabla hakujapambazuka.

4. Usile samaki wala dagaa.Vitu vya shomboshombo achana navyo

5. Uwe na kiberiti.

Ukiachia ushuzi unaonuka washa njiti moja then nzima ili kuua soo. Ila ni vema usile sana ili usijambe maana hutoalikwa tena mjengoni

Itaendelea...
 
Back
Top Bottom