Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,729
- 8,803
Baaah! Mmmmaaaa! Weeee Dada weee kwani jeeeee!!!
Mjini mipangoHaaaa hii mbona kazi!?!
Haaaaaa haaaaa fweza lazima ikamuliwe tu hapodohh...!!
walianza na makalio ya uongo sasa wamekuja na chuchu saa sita
yaani wakienda kuoga wanaacha makalio na chuchu ndani halafu hao na flat screen na ndala kifuani ndo wanakwenda kuoga
watu hawana aibu
Baaah! Mmmmaaaa! Weeee Dada weee kwani jeeeee!!!View attachment 940874