Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ee bana shwari?! Mambo konki konki...... Ni hivi kipindi fulani ktk maisha yangu nilishawahi kuwa kimapenzi na binti mmoja, kiukweli binti huyu alikuwa ananipenda sana na alikuwa na hisia sana...
3 Reactions
80 Replies
9K Views
Duuu!!! Wanaume wa Dar bhana wananishangaza Nipo hapa mjini tangu juzi nimetoka mkoani. Baada ya wanaume wa Dar kuanza kula mahindi ya kuchoma kwa kuchanganya na ndimu na pilipili ya kusaga...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Mechi za hivi Huwa tamuuu mashambulizi yake yanakuwa makali ni pale, mwanamke unajikuta siku nzima umeshinda una genye ya hatariii halafu upo Kwenye ugomvi na Baba chanja. Usiku unafika baba...
17 Reactions
102 Replies
14K Views
Thanks to you all
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari za jukwaa Hili” Nahitaji kuwa na mahusiano ya Karibu na binti/ mdada mwenyewe ndoto za kujenga familia(kuolewa) awe mtu mwenyewe malengo na maisha... umri wangu ni miaka 32yrs nipo dsm’...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanawake wa kileo wanapenda kujimilikisha vitu kikiwa cha huna nafasi kukitumia ila kile chako anakitaka kwa nguvu zote sijui kipi kinawasibu.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimu wote MMU Huwa najiuliza huu utamaduni wa kuvalishana pete hapa kwetu Tanzania. Je, mwanaume anatakiwa amvalishe pete mwanamke siku ya kuomba uchumba, au siku akishakubalika nyumbani...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu, ninaishi na mwanamke ambae ni mke wangu, lakin yeye ni mvivu sana kwa kila kitu, halafu hata akikosea hataki kuambiwa, muda mwingi anautumia kuangalia season, hana ushauri...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nahitaji mwanamke umri kuanzia miaka 30 mpaka 35 ukiwa na mtoto ni vizuri zaidi NOTE: -Kupima HIV ni lazima -sina vigezo -Mimi ni fundi ujenzi Simu: 0711451500 0743873589
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Leo nilipokuwa kanisani, simu yangu iliisha chaji na kuzima hivyo baada ya kurudi nyumbani nilichaji na nilipoiwasha nikakutana na ujumbe unaosema "karibu chakula"ilikuwa mida ya saa tisa hivi kwa...
14 Reactions
84 Replies
8K Views
Wewe mtu tunakaa mtaa mmoja lakini hata siku moja hujawahi niita kwako unipikie japo ugali tu! Kila siku wewe ukipiga simu unauliza weekend wapi!! Halafu eti unauliza lini nitakupeleka kwa wazazi!
17 Reactions
96 Replies
7K Views
Onyo: Tafadhali Uzi huu usichangiwe na wanachadema
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo ya Digital haya, yana ambatana na mihemko kibaoooo. BASI bwana . Nilimeet demu mmoja mtandaoni,wa huko kilimanjaro, enzi hizo uso wa kitabu(FaceBook) imecotton fire (pamba moto), baada ya...
7 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari Ndugu zangu humu?hamjambo !kipindi nipo seminary miaka ya 10 iliyopita,nimelala kitanda cha juu ,kumbe anayelala chini anavaa chupi za kike,ana mwili mkubwa,nilijua kaiba kwa mabinti,bweni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenu Jf Asanteni kwa muda wenu mliojitokeza sana kwa ajili ya shida nilizozisema . Napenda sana kuomba radhi kama nitawaudhi baadhi. Niliomba mtaalam na sio uhusiano naomba mnisamehe kama...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo nimepata muda wa kusikiliza radio EFM kipindi cha Ubaoni, wana segment inaitwa Ripoti ya Leo. Hapo wamerudia ripoti ambayo wengi wameomba irudiwe. Msimuliaji alikuwa ni mama ambaye mume wake...
3 Reactions
81 Replies
11K Views
Nafanya kazi kweny taasis mfanyakaz mwenzangu ni binti toka siku yakwanza nimeajiriwa mapokez yake kwang kama hakufurahia ata akiniona ofisin hubadilika kabisa sasa hiv majuz zilivyoanza story za...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Mabibi na mabwana natumaini wote mu muwazi nawakaribisha nyote tujadili suala hili mtambuka yaani Upendo/mapenzi na pesa Wakati fulani I think that even marriage vows should be changed On Her...
6 Reactions
301 Replies
25K Views
Mamboz? Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika...
12 Reactions
226 Replies
18K Views
Kuna wanawake wanaudhi sana, yaani hata noma haoni hivi mtu anakuona umetoka kwenye majanga, tena hapo ndo amekuja kukuliwaza, umemla kaondoka baadae anaanza leta mambo ya mizinga. Ndani ya wiki...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…