Kwa wanaume wenzangu mnaotumia muda mwingi kuongea na akina dada/mama

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
Hii nawausia wanaume wanaotumia muda mwingi kusogoa na kuongea na akina mama/dada hasa maofisini nk huo ni umama....mara nyingi huwa na nyie mnageuka kuwa na tabia za kimama kwani lazima mtaongea umbea umbea tu tena mbaya zaidi lazima hao wanawake watawachomekea stori za mabwana/waume zao na nyie mnachangia bila aibu.

Kumbukeni kiutalaam mwanamke anaongea maneno takriban 20,000 na mwanaume maneno 7,000 kwa siku hivyo ukitumia muda mwingi na mwanamke kusogoa lazima utavuka maneno 7,000 baada ya hapo utaanza kuongea umbea na ndiyo umama wenyewe jiangalieni ndugu zangu.

Mfano kuna jamaa wapo ofisi moja na wife, sometimes nikiazima gari lake nikawa kwenye mishe zangu au chobingo..wakikutana ofisini lazima watamwambia " tumeona gari lako chobingo flani" yeye anawaambia yule alikuwa ni Mr na yeye akirudi home lazima ataniambia tu tena kwa kunitajia jina la jamaa aliyempa umbea ambaye pia nakuwa namfahamu kama mshkaji .

Kuna mwingine mke wangu alikuwa akimhadithia kuhusu michepuko yangu, jamaa akiwa serious akamshauri mke wangu naye achepuke, wife akaja kunihadithia kila kitu...jamaa mpaka leo namuona pumbavu kabisa ingawa naye anajifanya mshkaji ndugu zangu acheni huu umama..tafuteni cha kufanya
 
Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,977
2,000
Nikivuta picha we ni mwanaume ulioko kazini na hapo kazin kuna watu kibao
Kuna mwanamke unaempenda sana ila kuna lijamaa linaonekana liko nae mda mwingi linambania
Kila siku mtu huongea na kuchukia kitu ambacho hukiwez
 
Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
17,981
2,000
Siku hizi ndiyo kazi za wanaume kwa umbea kama wanawake, mwishowe wakitongonzwa na hao wanawake kukataa ni ngumu wanaburuzana tu, namkeo naye mnafiki sasa mambo yako anamwadithia ili iweje, wanao mtongoza napo huja kukuhadithia?
 
ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
Nikivuta picha we ni mwanaume ulioko kazini na hapo kazin kuna watu kibao
Kuna mwanamke unaempenda sana ila kuna lijamaa linaonekana liko nae mda mwingi linambania
Kila siku mtu huongea na kuchukia kitu ambacho hukiwez

Siko kazini ofisini ...mi ni mkulima wa korosho , naonana na walugaluga tu
 
Coaster2015

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,520
2,000
Naunga mkono hoja
Mleta mada yuko sahihi kabisa, hata mimi nilishaona hiyo hali, Kuna Jamaa wengi sana hapa nilipo wanafanya kazi kwenye kampuni ya Catering service ambayo wafanyakazi wengi ni wanawake/wadada, ukiwakuta wanapiga sogo aisee utashangaa, hao jamaa wameshacop tabia za wanawake hata kufikia nao kuanzisha story za umbea, na hata wanapoongea unamkuta mwanamme anacheka ile kimbea na kugonga mikono si unajua zile wanawake, yaani mwanaume nae anakubali kuitwa shosti, yaani kama huwezi kufuata tabia hiz utapata Hard time sana kufanya nao kazi, jamaa huwa wananikera sana binafsi
 
pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
4,876
2,000
We we mfuate tu huyo mwanamke unayemtaka achana na huyo jamaa anayepiga nae story
 
Espy

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
70,961
2,000
Hapa naona wewe ndio una shida, unaazima magari ya wanaume wenzio, ni mzinzi maana umeoa na unachepuka.
Acha tabia mbaya.
 
Coaster2015

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,520
2,000
Hapa naona wewe ndio una shida, unaazima magari ya wanaume wenzio, ni mzinzi maana umeoa na unachepuka.
Acha tabia mbaya.
Usimtukane jamaa yangu,amesema aliazima gari ya wife wake sio ya wanaume, au kuazima gari ya wife ni kosa ?
 
ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
Hapa naona wewe ndio una shida, unaazima magari ya wanaume wenzio, ni mzinzi maana umeoa na unachepuka.
Acha tabia mbaya.
Huwa mnaambiagwa msome na kuelewa mada kwanza ..siyo mnakurupuka tu...soma vizuri basis ya hiyo argument yako
 
ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
Mleta mada yuko sahihi kabisa, hata mimi nilishaona hiyo hali, Kuna Jamaa wengi sana hapa nilipo wanafanya kazi kwenye kampuni ya Catering service ambayo wafanyakazi wengi ni wanawake/wadada, ukiwakuta wanapiga sogo aisee utashangaa, hao jamaa wameshacop tabia za wanawake hata kufikia nao kuanzisha story za umbea, na hata wanapoongea unamkuta mwanamme anacheka ile kimbea na kugonga mikono si unajua zile wanawake, yaani mwanaume nae anakubali kuitwa shosti, yaani kama huwezi kufuata tabia hiz utapata Hard time sana kufanya nao kazi, jamaa huwa wananikera sana binafsi

Dah huwa wananikera sana...nafikiri mwisho wake nao wanatamani wapumuliwe ..#kuAmber ruttiwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom