Ajutia Kuupoteza Ubikira wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajutia Kuupoteza Ubikira wake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MPAMBANAJI.COM, Mar 23, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 680
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Katika hali ambayo ni ya kusikitika na pia ni laana kwa aliyemtendea, Dada mmoja hapa Buguruni ametaka kujinyonga baada ya kidume mmjoja kuweza kumhadaa kwa muda mrefu huku akijifanya ni mlokole mahiri.Dada huyu mwenye miaka isiyopungua 24 aliamua kumsikiliza jamaa na jamaa kumtambulisha kwa watu ambao alisema ni ndugu zake na wazee wa ukoo.Utambulisho huo ulimridhisha mdada kwani aliamini fika jamaa atamuoa kwani hata mchungaji wa kanisa fulani maarufu mtaa huu alipata kutambulishwa.Kutokana na tamaduni msichana anayeolewa na bikira ndoa yake hufungwa siku ya Alhamisi muda wa saa nne asubuhi.Ushawishi na hali ya ukaribu kama anavyosimulia dada huyu ilimfanya atoe tendo lakini chakushangaza kesho yake kidume hakuonekana na inasemekana kaelekea Mwanza na hakuna mawasiliano tena.
  Tukio hili limemuumiza dada huyu hadi kufikia hatua yakutaka kujiiringa/kujimyonga.

  Ni tabia chafu kwa wanaume wa tabia hizi.
  Its so painful and shame upon them/male
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  pole zake tunamkaribisha katika chama cha wasio na bikra tanzania
   
 3. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  poleeeee yake...itabidi nimtafute nikampunguzie machungu
   
 4. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,554
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  heee!kumbe kipogo?we ndio mwenyekiti wao au katibu au mwanachama sugu?
   
 5. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,554
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  changamka mwana unaweza kuwahi yale mabaki mabaki!
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Cooked!
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe hujaona kama mwenye makosa mwanamke hapo!!

  Wanaume wengine mko vipi lakini mbona mawazo yenu yamepitwa na wakati.

  Yani wewe akilini kwako, kuna mwanaume anaweza kumtoa mwanamke bikra, kama mwanamke hataki!!

  Labda huyo mwanaume awe ame mrape kwa nguvu, kitu amabcho hakiingii akilini...vipi amkumbali mwanaume ambaye kamrape kwa nguvu in 1st palce...Kama kweli ame mrape kwa nguvu.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  mwanachama sugu
   
 9. m

  msnajo JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Kwani bikira ikitoka kuna nini mbaya? Tena kaliwa mara moja tu?? Huyo bado bikira, wasi wasi wake tu. Binti usiogope, bado uko shwari kabisa! Please nipeni contact zake kabla wachafuzi hawajaja. Mtu kaguswa only once!!
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  nadhani maumivu ya shosti ni zaidi ya kwako juu ya kidume kile..
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,936
  Likes Received: 5,084
  Trophy Points: 280
  bikira kitu gani......
  Mwamnie huyo dada huu ndo ulimwengu agangamale....
   
 12. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Msizuge bikra inauma!
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ofisi zenu zipo wapi Smile??
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo na we unataka ukamguse mara ya pili alafu wa tatu atakuwa nani? Au inakuwaje atii?
   
 15. P

  Pelege Senior Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa kwanza alikosea mana wanawake wa siku hzi washezi sana angemgonga na tigooo,ili kiburi kimuishe.
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bora ungemwambia akaribu kwenye wanawake wanaokwenda na wakati! Bikira si kitu cha maana hasa katika huu utaratibu wa kupokezana wapenzi.
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ili tujuwe kuwa wewe humo au unataka kujiunga?
   
 18. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  aendelee kula utamu wa hilo tendo mi naona bikra haina umuhimu zaidi ya ile raha anayoipata kwa ku do hlo tendo.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  endeleeni kutunza bikira ili human specie i-extinct.

  Ubikira ni sunk cost, haina maana.
   
 20. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 791
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  virgin from china are available, call 078400000032.
   
Loading...