Katika hali ya kawaida binadamu tunapitia vipindi vingi sana.ngoja niingie moja kwa moja kwenye mada
Hiyo siku siiwezi kusahau, ni miaka 4 imepita, ilikuwa ni dem ambaye nilisoma naye tangu...
Hizi ishu hazikuanza jana wala juzi, wala hazikuanzia Afrika! Kiumbe mwanadamu hujifanya mahiri na mjuvi wa mambo kwenye kila eneo! Hata pale ambapo ubunifu sio wake
Nimeona maranyingi watu...
Za mda huu Wadau wa jf.
Niko mwanza Nina miaka kati ya 28 hadi 32
Ninahita mtu(mwanamke) ambaye anamaanisha kama nilivyoandika hapo juu
. Siamini katika kuandika mamho mengi hapa ila kwa...
Wanaume tumeonekana sana kuwa wepes kuwa na mpenz pemben mbali na wapenz wetu, yani kuwa na michepuko.
Tupia comment yako kwa kutaja kitabia kibaya cha demu wako au x wako, hakujilekebisha na...
Kwa machungu na hisia Kali ambazo hazielezeki kwa namna yoyote ile nashindwa leo Kutiririka na Kuserereka sana hapa ila nawaombeni tu nipeni dalili za awali za Kumjua Mpenzi wako kama leo anaenda...
Habari ya Kazi.....
Kuna binti nilimuona whatsapp kwenye simu ya rafiki yangu kiukweli ni mzuri nikamwambia rafiki yangu akanipa namba yake
Sasa tatizo jinsi ya kuchati nae mpaka anielewe...
Ilikua 2009 naingia mwaka wa nne sheria, nilikua nina mpenzi wangu C alikua ni mtoto wa waziri ambaye kwa kipindi kile tulipendana sana yeye alikua akisoma accounts IFM mwaka wa kwanza.
Ilikua...
Habari gani wana jf kwa kifupi mimi ni dereva bodaboda kama unavyotambua kazi zetu zina changamoto nina mteja wangu anafanya kazi benk fulani hapa Dar-es-salaam jamaa huyu ni kicheche wa kufa mtu...
Kumekucha aka hakuna kulala
You are my handsome man, you are my Banana....
Tusiwasikilize mapimbimbi kazi yao kupiga domo tu mapimbimbi, wakati mahaba hawayajui mapimbimbi.....
Dadii You are my...
I thank God for his protection and all blessings till today when i celebrate some years of my life in the world,thanks to my parents for caring me and loving me since i was born until this day...
kukicha simu mkononi unawaza msg zilizoingia au status zilizotupiwa whatsapp? muda wote umeinamia sim mpaka unaenda kulala simu ipo kidevuni.
mwanamke unaachiwa hela ya matumizi kwako siku zote...
Nahitaji mrejesho wa wale wanaume wenzangu wanaokwenda kwa mwanamke direct na kusema Fulani Mimi nimekupenda nataka nikuowe!na mwanamke akikubali anamuowa bila kupima oil bila nini,na wengine ni...
Habari ndugu!!! tueleze siku yako ya kwanza kuoa ulikuwa unaogopa au ulikuwa upo sawa kama vile unaenda kununua nyama buchani.. mimi binafsi sikuwa na uoga wowote ulee yaani kama naenda kununua...
Sitaki niwachoshe, huyu rafk enzi za sekondari tulikuwa tunaugonvi lakn baadae tulielewana tukawa marafk ambapo yeye alkuwa kanitangulia darasa alvyo maliza akaenda advance na mm baada ya mwaka...
Wakati si milele
Kuna wakati wa kutafuta na kuna wakati wa kukoma kutafuta
Wakati wa kupata na wakati wa kukosa
Wakati wa kulia na wakati wa kucheka
Wakati si miaka, na miaka sio umri....utashi...