Naombeni dalili za awali za kujua kama Mpenzi wako leo anaenda Kukusaliti au ametoka Kukusaliti, kuna Mtu nataka nigawane nae Majengo ya Jamhuri!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,882
Kwa machungu na hisia Kali ambazo hazielezeki kwa namna yoyote ile nashindwa leo Kutiririka na Kuserereka sana hapa ila nawaombeni tu nipeni dalili za awali za Kumjua Mpenzi wako kama leo anaenda Kukusaliti au ndiyo ametoka Kukusaliti ili ikibidi niweze Kuukamilisha ' Kivitendo ' ule Msemo kwamba Chezea Wanaume wote nchini Tanzania ila siyo wa kutoka Mkoa wa Mashujaa na ' Wanamume ' wa kweli wa Mara ( Musoma )

Kuna Mtu nataka tugawane Majengo muhimu makuu ya Jamhuri / Serikali.

Nawasilisha.
 
Dah mkuu umenkumbusha mbali sana kunamwanamke nilimpenda sana akaenda dar kufany field..... Kumbe kunamdau alikua anawasiliana nae Facebook kama malafiki kwa mala nyingi
Du kufika uko mzee kijana nkapinduliwa
Siku nnasalitiwa
Sim zake hazikupatikana mzee nkaambiwa charg imeisha kumbe kinawaka ukoooo
 
Lazima uchapiwe maana hujui kutofautisha r na l
 
Dah mkuu umenkumbusha mbali sana kunamwanamke nilimpenda sana akaenda dar kufany field..... Kumbe kunamdau alikua anawasiliana nae Facebook kama malafiki kwa mala nyingi
Du kufika uko mzee kijana nkapinduliwa
Siku nnasalitiwa
Sim zake hazikupatikana mzee nkaambiwa charg imeisha kumbe kinawaka ukoooo
Ulijuaje? Kwa nini hukuamin simu haikuwa na chaji
 
Kwa machungu na hisia Kali ambazo hazielezeki kwa namna yoyote ile nashindwa leo Kutiririka na Kuserereka sana hapa ila nawaombeni tu nipeni dalili za awali za Kumjua Mpenzi wako kama leo anaenda Kukusaliti au ndiyo ametoka Kukusaliti ili ikibidi niweze Kuukamilisha ' Kivitendo ' ule Msemo kwamba Chezea Wanaume wote nchini Tanzania ila siyo wa kutoka Mkoa wa Mashujaa na ' Wanamume ' wa kweli wa Mara ( Musoma )

Kuna Mtu nataka tugawane Majengo muhimu makuu ya Jamhuri / Serikali.

Nawasilisha.
1. kukuaga ghafla kwa swala ambalo ulipaswa kulijua mapema. Mfano leo nina kikao/seminar kazini kwa hiyo naondoka naenda
2. Hivi utarudi saa ngapi leo (swali)?
3. Kama aliaga ameenda sokoni au kokote atakwambia; leo nimechoka yaani basi ujue kunawalakini
4. Ukimwangalia usoni hawezi kukukazia macho anaangalia pembeni tofauti na siku zingine (note: haya anafanya bila yeye kujua) unatakiwa uwe umemzoea ndo utajua kama hujamzoea hutajua.
5. akifika nyumbani tu kitu cha kwanza ni kubadilisha nguo na kwenda bafuni. Ujue kunawalakini
6. Muda mwingi utaona analala kama mgonjwa baada ya kutoka alikokuwa kama ni sokoni, kazini, n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom