Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Sitaki niwachoshe, huyu rafk enzi za sekondari tulikuwa tunaugonvi lakn baadae tulielewana tukawa marafk ambapo yeye alkuwa kanitangulia darasa alvyo maliza akaenda advance na mm baada ya mwaka mmoja nkamalza nkaenda zangu college afya. Baada ya mda kidogo nkamalza chuo 2016 huo huo mwaka yeye akamalza form 6 ambapo hat hvyo mm ndio nlkuw nkimpgia mara kwa mara yeye alkuwa akinipgia mara moja moja, baada ya hapo tuliendelea kuwa na mawasiliano ambayo mm mpaka nmtafute japo na yeye alkuw ananitafuta.
Mwaka huu niliajiriwa kwenye zahanat moja, siku moja ktk mawasiliano nkamwambia mm nmeajiriwa na nipo sehem fulan baada ya siku kadhaa nkashangaa ananiambia yupo town kwahyo anaweza pita kwangu siku kadhaa na mm nkamkaribisha na hyo ni baada ya yeye kumaliza chuo. Kesho yake alifika kwang.
Ni baada ya siku kadhaa kupita nikashangaa huyu rafiki yangu anakaa miez mpaka miwili ambapo namuhemelea, kupika na kila mitu ni mimi yeye anachat tu siku mojamoja anajitoa kupika lakn mara nying ni mm napo mpaka nitoke kazin na chakushangaza hatoi mchango wowote.
Kiukweli ilifikia hatua akaanza kunikoromea endapo akinikopa pesa namwambia sina japo hela ya vocha nilikuwa nampa ikabidi sikumoja nimuite babaangu tumwambie aende nyumban kwao japo mm na wazaz wake sifahamian nao.
Hv hiyo ni sahihi? Maana hat nilipo mwambia aende kwao yupo guest mpaka sasa japo nilimuongezea nauli ya kwenda kwao. Huo ni ufupi tu.