Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Wanaume tumeonekana sana kuwa wepes kuwa na mpenz pemben mbali na wapenz wetu, yani kuwa na michepuko.
Tupia comment yako kwa kutaja kitabia kibaya cha demu wako au x wako, hakujilekebisha na kufanya wew kumchoka.
Ili wasichana wajue kwa nn hata ss wanaume tusio malaya tumekuwa wakutanga tanga na wapenz tofaut tofaut