Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,441
Reaction score
872,037
Hizi ishu hazikuanza jana wala juzi, wala hazikuanzia Afrika! Kiumbe mwanadamu hujifanya mahiri na mjuvi wa mambo kwenye kila eneo! Hata pale ambapo ubunifu sio wake
Nimeona maranyingi watu wakiyafanyia modification magari ya watu.... Gari itaongezwa hiki na kupunguzwa kile mpaka inapoteza uasili wake kabisa... Sasa hizi ni kazi za mwanadamu hazina shida sana
IMG-20170829-WA0017.jpg
mambo iko hapa... Kwamba unajaribu kumsahihisha Mungu?
Nywele za bandia ni kuedit uumbaji
Kutoga mwili
Kuchora tatuu
Kutinda nyusi
Mkorogo
Makalio bandia nk nk... Tunajaribu kumkosoa fundi wetu.... Mbona hatukati vidole?mbona hatuzibi tundu moja? (La pua) mbona hatung'oi jicho moja?
Mungu hakosolewi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutahiri nako ni kumsahihisha Mungu...!?!!
Hapana sio kumsahihisha Mungu, sisi katika Bible tunaambiwa kuhusu kumtahiri mtoto akifikisha siku nane
And Abraham circumcised his son Isaac being eight days old, as God had commanded him.
Genesis 21:4
And it came to pass, that on the eighth day they came to circumcise the child; and they called him Zacharias, after the name of his father. And his mother answered and said, Not so; but he shall be called John.
Luke 1:59‭-‬60

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ishu hazikuanza jana wala juzi, wala hazikuanzia Afrika! Kiumbe mwanadamu hujifanya mahiri na mjuvi wa mambo kwenye kila eneo! Hata pale ambapo ubunifu sio wake
Nimeona maranyingi watu wakiyafanyia modification magari ya watu.... Gari itaongezwa hiki na kupunguzwa kile mpaka inapoteza uasili wake kabisa... Sasa hizi ni kazi za mwanadamu hazina shida sanaView attachment 577115mambo iko hapa... Kwamba unajaribu kumsahihisha Mungu?
Nywele za bandia ni kuedit uumbaji
Kutoga mwili
Kuchora tatuu
Kutinda nyusi
Mkorogo
Makalio bandia nk nk... Tunajaribu kumkosoa fundi wetu.... Mbona hatukati vidole?mbona hatuzibi tundu moja? (La pua) mbona hatung'oi jicho moja?
Mungu hakosolewi


Sent using Jamii Forums mobile app
Post yako ya Leo ndugu Mshana Jr ipo chini ya kiwango.
 
Humans tunafanya mambo mengi sana ya kipumbavu kwenye miili yetu kwa kisingizio kua its our culture! Godamn.!

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Mshana kutoga mwili? Je masikio nako ni kumsahihisha Mungu pia? [emoji32][emoji32]

Madame S
 
Back
Top Bottom