Kila jambo na majira yake

Kila jambo na majira yake

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,439
Reaction score
872,036
Wakati si milele
Kuna wakati wa kutafuta na kuna wakati wa kukoma kutafuta
Wakati wa kupata na wakati wa kukosa
Wakati wa kulia na wakati wa kucheka

Wakati si miaka, na miaka sio umri....utashi alionyimwa mwanadamu., kuijua kesho yake... Mustakabali wake ukomo unapofikia tamati....

Nikukumbushe tu ya kuwa..... Zijapopita nyakati njema usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako.....
IMG-20181202-WA0014.jpeg
View attachment 952970
 
Hulka anapotatizika
Maisha yana ladha tofauti tofauti kulingana na muda na nafasi pia.

Kuna Wakali maisha yanakuwa matamu sana, kuna muda huwa machachu haswaa, na kuna kipindi ni testless, na kuna kipindi huwa machungu hadi utamani kuwa safari Pluto.....!!!

Mbegu uliyopanda ikimea, tarajia kuvuna.
 
Wasema kweli mkuu

Na hofu hiyo, ni Kwa Mungu pekee walio wake hawana hofu hiyo.
 
Wakati si milele
Kuna wakati wa kutafuta na kuna wakati wa kukoma kutafuta
Wakati wa kupata na wakati wa kukosa
Wakati wa kulia na wakati wa kucheka

Wakati si miaka, na miaka sio umri....utashi alionyimwa mwanadamu., kuijua kesho yake... Mustakabali wake ukomo unapofikia tamati....

Nikukumbushe tu ya kuwa..... Zijapopita nyakati njema usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako..... View attachment 952971View attachment 952970

MshanaJr unafaa sana kuwa mchungaji au mtumishi wa Mungu.

Nitakutafuta tuone jinsi kuzichoma tunguli na mambo yake, ili twende shambani mwake Bwana maana mavuno ni mengi ila wavunaji ni wachache.

Mungu aendelee kusema na moyo wako
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom