Ushauri wandugu dada kafukuzwa nyumbani na shemeji Kasema asimuonee tena...
Sasa najiuliza na Mimi nisepe au nibaki Japo kuondoka roho inauma mana kuna Supersport huwa nacheki game... Na kesho si...
Imepita kama miez mitatu mpenz wng tukiwa kwenye sarakasi za kikubwa tukiimba nyimbo za CCM zile wembe n uleule mmoja mara hoi kila mtu chali tukiwa tumelala tunapiga story ili tuendelee n kuimba...
Hakuna jambo baya kama kumpiga Mwanamke na Wanaume wengine hujiwekea viapo kwamba hawezi kumpiga Mwanamke
Lakini hawa watu muda mwingine wanakera sana mpaka uvumilivu unatushinda Wanaume...
Aseeh kuna maswali huwa sisi wanaume tukiulizwa yanaleta utata na endapo ikitokea umejibu kijinga basi ndo unakosa kila kitu
Hembu tupeane uzoefu jins ya kujibu haya maswali...
1.UMETOA WAPI...
Ni kwamba kama kuna Mahusiano au Ndoa ambazo Wanaume ni Warefu kuliko Wanawake basi kwa 99.9% huwa zinadumu hadi kuwa hata na Mafanikio Maishani kuliko zile ambazo utakuta Wapenzi wote Wawili wana...

An American author named Shawn James this week wrote a controversial essay titled ‘Why Real Men Avoid Single Mothers’ – detailing 15 reasons why men should not date single mothers. It’s got...
Salamu Sana.
Kuna best yangu mmoja HIVi boooonge la jidada. Duh juzi uzalendo si ukanishinda Bwana ikabidi niliombe papuchi.
Jibu lililokuja Ni kwamba linataka laki 3 lifanye mambo yake ndio...
Wadau habari za majukumu?
Naomben ushauri
Yapata muda kidogo niko na rafiki yangu wa kampani za hapa na pale kama family friend na anajua nina mke na watoto ila kadir siku zinavyokwenda anasema...
Habari za asubuhi
Inasemekana kwamba ukimla mwanamke wa mtu na wako analiwa tu. Jamani hivi Ni kweli??
Maana mimi tangu nimeoa nimekula kama wanawake 6 hivi wake za watu. Je nikweli kwamba nami...
Natasha, kiongozi wa wauaji
Natasha na wenzake wakiwa Gerezani
Lillielid na Familia yake kabla ya kuuawa
Ilikuwa ni jumapili majira ya saa 2:20 usiku, April 6, 1997, kitengo cha ulinzi wa jamii...
.....Ndugu wana JF, leo nimejiona ni share kidogo True story ya maisha yangu ambayo nahitaji Ushauri au Masaada wa kitabibu.
..Nilijiunga Chuo kikuu (Udsm) 2008...nikiwa mwaka wa kwanza nilipata...
MWANAMKE Ukiwa na Tabia Hizi 7, Lazima Mwanaume Akukimbie
1. CHOKOCHOKO
Wanaume wengi huwa hawapendi chokochoko. Hawapendi mwanamke ambaye yeye kila wakati ni kuanzisha chokochoko ambazo...
Wakwanza wakati tunafahamiana alidai ni yatima baada ya muda kusonga nikagundua wazazi wote wapo hai tena wazima wa afya huyu alikua mdangaji hakujua nina dhamira ya kuoa hivyo basi akaja na gear...
Hamujambo wadada na wapenzi wa jf.
Mwanamke ningependa kukushauri jambo moja la mwisho wa mwaka huu.
Ukitaka ugomvi usitokee nyumbani masaa yote basi muheshimu mumeo.
Mwoneshe unamjali na pia...
Habari za jumapili wana JF.
Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .
Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na...
Vipi kuhusu huyo mwanamke bado anakuheshimu kama mwanzo au baada ya kupata alichokuwa anakitaka kawa mbogo.
Vipi huyo dogo mnafanana au bado unawasiwasi sio wa kwako.[emoji23][emoji23]
Vipi wale...
Ukiweka kando unafiki, be honestly. Mwaka huu tangua uanze na tunaelekea mwishoni ni wanawake wangapi umepiga/ na kwa mwanamke umepita na wangapi. Vip kuna jipya au ni yaleyale. Mwaka unaisha hima...
Sifahamu ni kwa nini ila ni ngumu sana katika mademu wazuri 50 unaweza pata mwenye akili mmoja au wawili.
Wakati Bro anaoa miaka kadhaa iliyopita nilimshangaa sana nikamwambia "bro mbona umedate...