social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,104
- 1,262
Wakwanza wakati tunafahamiana alidai ni yatima baada ya muda kusonga nikagundua wazazi wote wapo hai tena wazima wa afya huyu alikua mdangaji hakujua nina dhamira ya kuoa hivyo basi akaja na gear ya uyatima kupata slope.
Wapili kuna wakati ukimpigia simu ipo busy karibu muda wote(blacklist) baada ya muda inapatikana,simu haipokelewi kwa wakati na inapopokelewa sababu sio za kuridhisha "baba alikuepo"
Wa tatu, toka tumefahamiana haujaisha mwezi napowasiliana nae mazungumzo hayawezi fika tamati bila kuomba pesa,endapo nitatoa ahadi inageuka deni kila muda anaulizia.
Mliopo kwenye ndoa nipeni madini kukabiliana na hali hii.