Sio jambo zuri kumpiga Mwanamke ila muda mwingine Wanawake wanakera mno

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
13,817
2,000
Hakuna jambo baya kama kumpiga Mwanamke na Wanaume wengine hujiwekea viapo kwamba hawezi kumpiga Mwanamke

Lakini hawa watu muda mwingine wanakera sana mpaka uvumilivu unatushinda Wanaume. Unavunja miiko na mara nyingi kinachofanya Mwanamke apigwe ni Mdomoo!

Wangu amenuna leo siku ya pilii baada ya kula vibao kadhaaa...

Je ulishawahi mpiga mpenzi wako au mke? Nini kilikuwa chanzo....
 

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
134,504
2,000
Nilishaweka dhamira kabisa: Sitakaa nimtandike mwanamke hata siku moja. Akishindwa kuniheshimu na nikamuonya mara kadhaa ni afadhali nimpeleke kwao akapumzike lakini kumtandika hapana...na heshima huwa hailazimishwi hata siku moja. Tatizo langu mkimya sana na huwa inachukua muda sana mpaka nikasirike. Najijua nikiamua kumtandika naweza ua mtoto wa watu bure tu !!!
 

chopeko

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,531
2,000
Nimeamini mkuu...uvumilivu ulinishinda..! Najua atanuna lakini mdomo atapunguza
Mdomo ndo unawaponza siku zote. Na wanawake hawalijuagi hili. "Hakuna mwanaume atakayethubutu kunyanyua mkono wake mbele ya kauli nzuri toka kwa mwanamke! Hata kama umekosea, ukishuka ukaongea kwa hekima hakuna wa kukupiga" Ila sasa unakuta mtu ana makosa afu ndo anaongea kama kameza betri za national!! Lazima udundwe tuu!!!!
 

Dejavu

JF-Expert Member
May 31, 2018
1,568
2,000
Its the crime kumpiga mtu yeyote achilia mbali mwanamke.
Kwangu ni ulimbukeni sana kupiga mwanamke.

Nilikuwaga nahumia sana rohoni nikimuona Baba anamtandika mama makofi. Hii ilinifanya niache kabisa kupiga mwanamke sababu najua watoto wanapata maumivu mno coz I have been through it.
 

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
13,817
2,000
Nilishaweka dhamira kabisa: Sitakaa nimtandike mwanamke hata siku moja. Akishindwa kuniheshimu na nikamuonya mara kadhaa ni afadhali nimpeleke kwao akapumzike lakini kumtandika hapana...na heshima huwa hailazimishwi hata siku moja. Tatizo langu mkimya sana na huwa inachukua muda sana mpaka nikasirike. Najijua nikiamua kumtandika naweza ua mtoto wa watu bure tu kwa sababu nitakuwa nimekusanya makosa na hasira za miaka na miaka.
Mkuu hata me ni mkimya sana na nacheka nae kila muda ila kuna siku alitaka anipande kichwani... nadhani atakuwa kajifunza kitu
 

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
13,817
2,000
Mdomo ndo unawaponza siku zote. Na wanawake hawalijuagi hili. "Hakuna mwanaume atakayethubutu kunyanyua mkono wake mbele ya kauli nzuri toka kwa mwanamke! Hata kama umekosea, ukishuka ukaongea kwa hekima hakuna wa kukupiga" Ila sasa unakuta mtu ana makosa afu ndo anaongea kama kameza betri za national!! Lazima udundwe tuu!!!!
Yanii alafu anaongea yale maneno ya dharau...hasira zilinipanda nikaona ebu ngoja nimeoneshe kuwa na mimi Ukurya nauwezaa..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom