Jamani hivi ni kweli hili suala

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Habari za asubuhi

Inasemekana kwamba ukimla mwanamke wa mtu na wako analiwa tu. Jamani hivi Ni kweli??

Maana mimi tangu nimeoa nimekula kama wanawake 6 hivi wake za watu. Je nikweli kwamba nami mke wangu wameshamla??

Ooh jamani jamani

Ooooooh mama nakufa.
 
Huku ni kujipa maradhi bila sababu za msingi,.
Wewe unawala hao wake za watu,nae analiwa mkikutana mnakulana maisha yanaendelea Ndoa tamu bwana.
 
Unajisikiaje kumtukana mzazi wa mwenzio? Huyo mzazi mwenyewe haijui hata Jf lakini wewe baba na familia yako unaandika ujinga kama huo
UNAJISIKIAJE UKIMZINI MAMA WA MTU MWINGINE...UCHUNGU HUO HUO UNAOUPATA UKIZINIWA MAMA, DADA MKEO AU BINT YAKO...NDIO HUO HUO ANAOUPATA UNAYEMZINIA MWENZIO...
 
Habari za asubuhi

Inasemekana kwamba ukimla mwanamke wa mtu na wako analiwa tu. Jamani hivi Ni kweli??

Maana mimi tangu nimeoa nimekula kama wanawake 6 hivi wake za watu. Je nikweli kwamba nami mke wangu wameshamla??

Ooh jamani jamani

Ooooooh mama nakufa.
Hilo sio swali ni jibu pigia mstari kabisa mkuu malipo ni hapa hapa mkuki kwa nguruwe ila inaonekana mkeo kashaanza kuliwa maana sio kwa post hizi leo aisee
 
Back
Top Bottom