Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

According to the Telegraph, the World Health Organization will change its definition of disabilities to classify people without a sexual partner as “infertile.” The controversial new...
0 Reactions
202 Replies
56K Views
Leo ni siku ya 3 tangu nikutane na huyu mdada mrembo toka kanda ya kaskazini Alinitumia friend request FB ile nimeaccept mtoto kaja inbox na maneno mengi ya bashasha Katika chat chat zetu binti...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Ni vigumu sana kutenganisha hisia za kupenda au kutamani. Mara nyingi jinsia, zote wanaume na wanawake, huwa wanashindwa kutenganisha hisia hizi pale macho yao yanapogongana na kuziamsha hisia...
5 Reactions
13 Replies
15K Views
Habarini za mwamko wakuu poleni na changamoto za kila siku ipo siku utapaa tu zidi kumtumia Mungu katika mambo yako. Nimefanya uchunguzi juu ya taratibu kwa Macho tu na mifano michache ya vijana...
5 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari wana jamvi, wapendwa naombb ushauri, nilikutana na mkakamoja mmoja , siku hiyo nilikuwa kifield sana, nishapigwa na vumbi nilikuwa mchafu kidogo, rasta zimejaa vumbi, nimepiga kombati ...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Umewahi kuwaona watu ambao miaka nenda rudi tangu umezaliwa umewakuta wanapendana na mpaka sasa umekuwa mkubwa wao ni vikongwe bado wanapenda na ukajiuliza “HIVI SIRI YA MAPENZI YANAYODUMU NI...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Nakumbuka nilileta post jana hapa ya kwamba leo nina game na mademu 3 triple, Kiukweli sikufanikiwa kuwala wote maana mpaka muda huu nimetoka kumla mmoja kati ya wale watatu niliotegemea, Huyu...
8 Reactions
86 Replies
9K Views
Jamani leo nimerudi tena mzee wa kasumba kuzungumza na dada zangu wapendwa. jina langu naitwa "Mzee wa kasumba" Japo nimejaaliwa kasumba kiasi kikubwa, lakini kuna muda huwa nakuwa na busara na...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Tafadhalia kwa wale wakristo,anayejua kuachana kikristo atusaidie.Ninajamaa yangu mke wake anataka waachane na yeye kashachoka nae.Lakini anawaheshimu sana wakwe zake hivyo anataka waachane kwa...
0 Reactions
82 Replies
16K Views
Baada ya kuona kama mke wangu ameanza kuwa na katabia kabaya nilianza kumfatilia katika simu yake na kugundua kama kuna kijana anayefanya kazi pamoja anamsumbua sana.Nilikuta meseji nyingi sana za...
21 Reactions
429 Replies
59K Views
Jana rafiki yangu ame break up na boyfriend wake. baada ya kuuliza kisa ameniambia kwamba huyo bwana anavuja jasho kama mvua. Wakifanya mapenzi ni kama yupo nje ananyeshewa na mvua kwa jinsi huyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu mtindo wa wanwake wanakua na kiburi na jeuri wakiwa period Inaboa Sana. Unakuta unauliza swali anajibu kwa jeuri ama anajifanya hasikii. Namna hii tukichepuka msitulaumu. Wanaume wale...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Wadau wa jf mjiulize hivi hadi sasa mna miaka mingapi na mmefanya kitu gani katika maisha mnachojivunia?? Kama nini?
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika uhusiano wowote ule mawasiliano ndio nguzo kuu, je nini kilitokea mpaka ukaacha kuwasiliana na mtu ambae mlikuwa mna mawasiliano hai na yenye nguvu. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
46 Replies
10K Views
Hapa nadhani sijawahi kuposti mada yeyote, hii itakuwa ya kwanza. Leo katika stori mbili tatu na jamaa zangu wa karibu, mara paap tukagusia pesa, hatujakaa sawa Jeff Bezos huyu hapa. Kama huna...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
*Kisa cha kusisimua* Akiwa bado yuko safarini baba anold akajisemea "enhee wacha leo nimsurprise wife" na alitaka afanye hivyo ili kuupima uaminifu wa mkewe baada ya kusikia maneno ya wambea...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Ukipenda damu basi usiache kupenda usaa japo sio mzuri ila utakufanya kuona jema kwenye baya. Huu ni mfano tu. Daima kupendana sio kufanana moyoni, hizi ni salamu zangu kwenu wachumba na wana...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ugonile Wakuu!! Kalagabao Joka ndani ya nyumba kila mtu anahaha. Ukweli ni kuwa Joka ndiye kiumbe anayeogopeka na watu wengi kuliko kiumbe yeyote duniani. Licha ya kuwa kiumbe huyu hana miguu...
3 Reactions
87 Replies
11K Views
Cause if u do, she will treat you like a fan. Dont be a simp. Be an Alpha
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Mke anahitaji akili na urijali tu mengine huja yenyewe! Malaya anahitaji pesa kuliko Mme! Wengi wetu Tunaosumbuliwa na wake zetu kwa sababu ya umasikini ni kwasababu tulikosea tukaoa Malaya...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…