First sight

chetuntu

R I P
Jan 10, 2011
949
109
Habari wana jamvi, wapendwa naombb ushauri, nilikutana na mkakamoja mmoja , siku hiyo nilikuwa kifield sana, nishapigwa na vumbi nilikuwa mchafu kidogo, rasta zimejaa vumbi, nimepiga kombati . Basi tukawa tunakuta sana kikazi.Tumeanzisha uhusiano ila hapendi nivae tofauti na field kila siku anataka nisuke rasta,makombati hakuna hata kujipodoa kidogo, hata nikiwa nje ya field yani nakwazika. Nisaidieni kumwelewesha wanajamvi. Asanteni.
 
Ha ha ha Chetundu bana eti hakuna hata kujipodoa?? So hata lotion no kupaka?? Huyo nae anavituko hata mkitoka kwenda out unavaa kombati??
Mwambie aache unoko na yeye anakuwa kama ............................. naogopa kutaja nisijeshambuliwa bure
 
Dena bana acha halafu ni mbabe sana. Hapa nna rasta hataki hata nisuke yebo.
 
Habari wana jamvi, wapendwa naombb ushauri, nilikutana na mkakamoja mmoja , siku hiyo nilikuwa kifield sana, nishapigwa na vumbi nilikuwa mchafu kidogo, rasta zimejaa vumbi, nimepiga kombati . Basi tukawa tunakuta sana kikazi.Tumeanzisha uhusiano ila hapendi nivae tofauti na field kila siku anataka nisuke rasta,makombati hakuna hata kujipodoa kidogo, hata nikiwa nje ya field yani nakwazika. Nisaidieni kumwelewesha wanajamvi. Asanteni.

duh! Nenda nae mdogo mdogo atakuzoea.
 
Chetuntu hata mkitoka out like dinner na combat? mbona kama simwelewi? ila mwisho wa siku ni wewe na yeye angalia manufaa ya uhusiano wenu huku ukimwelewesha kidogokidogo kwamba hauko comfortable kuwa kifield muda wote
 
naona mtakavyochukuliana tangu mwanzo na kuzoeshana itakuwia ngumu kubadili!! ni bora umwonyeshe kuwa hupendi anayoyapenda yy tng mapema, ww subiri tu badae utaona kasheshe yake!!
 
Dah!

Hao wachangiaji wawili wa mwanzo, ambao wote ni marehemu sasa, walikuwa marafiki zangu wazuri sana. Ndani na nje ya JF.

Nawakumbuka daima 😘
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom