Cause if u do, she will treat you like a fan.
Dont be a simp.
Be an Alpha
Cause if u do, she will treat you like a fan.
Dont be a simp.
Be an Alpha
Chudat chudat manHapa ndo wanaume wanafeli.
Na formula nyingine Ni Kama huwezi kumvutia mwanamke bila kumpa hela au kutumia hela Basi Master yourself, mapenzi yatakusumbua.
Ukiona uchumi umeyumba halafu unawaza mwanamke atakuchukuliaje/atakudharau badala ya kuwaza vitu vya msingi basi uache zezeta..
Sent using Jamii Forums mobile app
Treat her like Omega while you are Alpha....Cause if u do, she will treat you like a fan.
Dont be a simp.
Be an Alpha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mna kazi ya kutuponda nyuma ya keyboard kila siku, wakati kiuhalisia Mnatupenda hatarii.. Hilo ndo linatutia nguvu mno..!!
Tunawadere tu..!![emoji23]