Tajiri namba moja duniani kutalikiana na mkewe ni dhahiri kwamba pesa si kipaumbele kwa mke

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Mke anahitaji akili na urijali tu mengine huja yenyewe!

Malaya anahitaji pesa kuliko Mme! Wengi wetu Tunaosumbuliwa na wake zetu kwa sababu ya umasikini ni kwasababu tulikosea tukaoa Malaya badala ya Mke!

Tajiri namba moja duniani pamoja na kuishi kwenye ndoa kwa miaka 25 lakini ameamua kubwaga manyanga huku wewe maskini na komwe lako usoni ukifaidi ndoa na ufukara wako!

Tazama mapenzi yalivyo hayana adabu. Yamepelekea wapendwa hawa kuachana pamoja na utajiri wote walio nao! Nimeamini kweli Pesa si kitu kwenye mapenzi ya kweli!

Screenshot_20190114-203453.png
 
Umeandika kishabiki Sana. Wakati chanzo cha kuachana kwao hukijui

I was really touched, considering that she had married before he blew up. And literally they have achieved all this wealth pamoja. And they have been separated to rethink about ndoa now naona wamekua confident kua ni muda wa kuachana sasa. They have two sons and one daughter adopted from china. Its all good as long as they are in good terms as friends, business partners and parents
 
Inaelekea hii divorce haitakuwa na utata wameshatoa statements ya pamoja kwamba wataendelea kuwa “friends” bila ya shaka wameshakubaliana bidada achukue ngapi na wanaweza kabisa kuficha kiasi husika alichochukuwa bidada ili kisiwekwe hadharani.

Pesa bado ina play part hapo mkuu maana huyo mwanamke hawaachani hivi hivi anavuta mpunga wa haja. Bajeti ya Tanzania kwa miaka kadhaa
 
I was really touched, considering that she had married before he blew up. And literally they have achieved all this wealth pamoja. And they have been separated to rethink about ndoa now naona wamekua confident kua ni muda wa kuachana sasa. They have two sons and one daughter adopted from china. Its all good as long as they are in good terms as friends, business partners and parents
one has to be killed!!!! for economic strategy!!!
 
Ukiwa umemiliki kila kitu, nitakushawishi tununue vingine, kma nyumba nyingine, kama investment tunafanya nyingine na pesa zako, usituchezee kabisa.

On a serious note hakuna mahusiano magumu kama kumkuta mwanaume anapesa tayari, mara nyingi hawajui kutofautisha kati ya pesa zao na penzi.
Nawashauri wanaume wenzangu, hakikisha umemiliki mali zako kabla hujaoa...

Sasa hapa bezos wa watu anasomeshwa namba!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasu kwa pasu $140 billions. The lady will soon take the title the richest woman in the World.

Hapana sidhani kama hiyo itatokea coz mwanamke alikataa
Ila pia nae si haba nae yupo vizuri financially
alisema shida yake sio pesa bali muda
sasa hili ni somo pana sana kwetu sisi
Japo hahaha kibongo bila hela unaonekana fala tu

Fikiria leo huyo Jeff atangaze kuwa anatafuta mke
Hadi huku kwetu watatuma maombi kwake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom