Kuna vitu vinashangaza sana hasa hasa ni haya mazee ambayo ni mabosi
Unakuta zee zima ni Malaya eti kisa ni CEO Wa kampuni Fulani ndio unatumia wadhifa wako kuharibu mabinti za watu au wake za...
Jumapili iliyopita nikiwa nyumbani nimetulia na familia nikasikia hodi. Mdogo wangu kwenda kufungua akawakaribisha wageni ukumbini.
Kutokea sebuleni nikashangaa ni mtu aloniacha kwa kashfa na...
Mimi ni mwanaume wa miaka 26 muislam ninaishi Dar, mweupe mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri (sio uzuri wa muonekano tu, na uzuri kutoka rohoni) anaye ishi Dar
Au mkoa...
Wakuu natoa rai kwa wale wanaopenda kudukua mawasiliano ya wenza wao waache taifa litapoteza Nguvu kazi.. Msaada dawa za kutuliza mapigo ya moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Last Saturday, nilialikwa kuhudhuria ndoa ya jirani yangu anawatoto kama 3 wote wa mama1 ila wa nje ya ndoa wote kwa pamoja walitumia fursa hiyo kuwatambulisha watoto hao swali nauliza ni sahihi...
Je ukiwa kama mzazi ama mlezi unafahamu nini juu ya mahakama ya watoto?
Mara nyingi haki hupotea kwa kutozijua sheria na namna vyombo mbalimbali vya utoaji haki vinavyo endeshwa. Mahakama ni...
Mtu anawadada mia utakuta anakazi ila ratiba yake ni hii hapa.
Ijioni 12 akiwa home anakuja A huyo atapika watakula ataenda atakuja B huyu atakaa ikifika saa sita ataondoka C huyo atalala mpaka...
Kama kuna kamlango ka kupotezaga pesa mingi hasa wanaume ni katika mahusiano. Pale kwenye early stages za mahusiano wengi tunapotezaga hela balaa. Utakuta mtu umemtumia hela then anapotea...
Unamkuta mtu anamadai eti anakuona upo humu masaa karibia na yote.
Sio kwamba hana kazi watu wanakazi.
Mf. Ukiwa ofisini umefika ukajibu post ukawasha kompyuta na kuanza na kazi halafu post...
Mwanamume wa kiafrika anamajukumu mengi sana!
Anategemewa aitunze familia yake; anunue chakula, alipe kodi ya pango, asomeshe watoto, asomeshe ndugu zake, achangie majukumu ya kijamii ikiwa ni...
kuna demu nipo naye tunakula mgawani tukitoka kula tunaenda kufanya mapenzi gesti asa apa ela ya gesti sina sitaki demu aondoke ivi ivi bila kumtia
nisaidieni ela waungwana nitawarudishia namba...
Kutongoza mtandaoni ni sawa na kucheza kamari, unaweza kua unatongoza dume mwenzio bila kujua. Lakini unaweza kutongoza mwanamke ukizani ni binti kumbe ni mmaza kama mama yako.
Mimi nimewahi...
Kwanza nianze kwa kucheka[emoji23][emoji23][emoji23] Maana ni issue inayowatoa watu mapovu sana.
Kuna hii hulka imeanza ya baadhi ya watu Maarufu kukimbilia nchi jiran na kuoa mabinti wa huko...
Nimekutafuta mpenzi miaka mingi sijawahi kumpata mtu mtamu kama wewe nikiwa karibu nawewe moyo wangu unashtuka nasisimuka .
I love you sina mwingine nimefika kwako nasitotaka kamwe kukuacha...
Ni mpenzi wangu tunapendana sana anasema hiyo ndio fantasi yake yakutaka nimgonge kisawa sawa besti yake mbele yake live na amekua akiiwaza hilo jambo kwa muda mrefu na huyo besti yake...
MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua ya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua sarakasi zilizomo kwenye uwanja wa mapenzi wanashindwa...
Mimi ni muumini wa wanawake warefu na wazuri. Hata asipokua mzuri sana ila awe mrefu.
Naomba nieleweke kua sina nia ya kudhihaki wanawake wafupi kua wao sio wazuri ila kila mtu atakubaliana nami...
Mababu zetu walipokuja na concept ya kufanya tendo la ndoa gizani taa zikiwa zimezimwa huku wakiwa wamejifunika shuka walikuwa sio wajinga kwani walikuwa wanajua madhara ya kutazama papuchi au...