Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukistaajabu ya Musa !! Pichani kijana huyo mtu mzima toka Japani kwa jina la Yuta alikuwa kwenye penzi zito na Mende aliyemshika wakiishi Kama mke na mume. Mende huyo anadai alimnunua kutoka...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Niaje?? E bwana weee wife kasafiri ana kama wiki na nusu hivii tangu asafiri sasa mzee baba anataka papuch yake mpaka shidaaa!! Naweza kutembea barabarani ukiona mwanamke kakaa vibayaa basi tayari...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Kwenye majukumu kuna kipindi unaingia field hata miezi miwili mitatu haujarudi nyumbani. Ukanda wa kilimo cha pamba mahususi mtanielewa zaidi. Juzi amekuja binti na mimba kubwa kabisa ya...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Asallam aliykum wadau wana JF leo nawaletea huu UZI zipo kauli au hulka ya baadhi ya watu wakidai ya kuwa ni udhaifu hasa kwa mwanaume kutongoza msichana kutoka ktk mitandao ya kijamii na wapo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni msichana,nataka rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo after work we me au ke ni sawa but story za apa na pale .msiniseme jamani ni upweke unanisumbua,nikirudi kazini nakosa wa kuongea nae...
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Habrinii WanaJF Refer to the heading above Mimi ni kijana wa miaka 28 single up to this time, Napambana na hali yangu maisha sioo mabaya employed and entrepreneur Sifa za mtarajiwa 1. Kitu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
KWA TAARIFA YAKO!! Kiwango cha Majukumu uliyonayo sasa kinaamua kiwango cha Baraka zinazofuatana na wewe. LABDA NIKURAHISISHIE LUGHA UNIPATE VIZURI... Huenda una ajira yako na unalalamika...
10 Reactions
6 Replies
1K Views
Eti kila mdada akija kutafuta mchumba utasikia anatangaza sifa za bwana amtakae. Awe mcha Mungu, sijui mrefu mara mfupi, mweupe au mweusi n.k, kinachoniuzi mimi kwenye umri tu. Utasikia awe 28 -...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
VYOMBO vimetupwa nje na baba mwenye nyumba. Si kwamba eti sijalipa kodi, la hasha! Ni sababu ndogo ya kipuuzi imepelekea yote haya. Saa nane usiku nikiwa nimelala katika kitanda changu cha kunesa...
7 Reactions
69 Replies
9K Views
Kwajina naitwa Yusuph Omary Mlima miaka 28 nyumbani Morogoro khonda mafisa ila kwa sasa niko chalize mkoani Pwan kikaz natafuta mchumba umri 20-27 asiwe mnene wala mwembamba sana awe anajiheshimu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii nimeikua sehemu ikabidi niilete hapa; “Habari yako bwana HASSAN Natumaini hatufahamiani, mimi naitwa Mr JOHN au Baba Hellen, mke wangu ni ANITA ambaye kwa sasa ndio baby wako kipenziiii kwa...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Juzi nilipost thread kueleza umuhimu wa mahari na pia matatizo au upande wa pili wa mahari unaleta madhara gani katika mahusiano ikiwa hapatakuwa na usahihi wa malipo katika tendo hilo. Sasa a...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanamke bila msimamo huwa ni sawa na choo cha kulipia, yeyote mwenye pesa ya kukidhi hitaji la kutoa haja yake, huingia na kutoa kisha huondoka na kuacha harufu na uchafu wake. Usichana ni sawa...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
To them a nice guy means a foolish guy. # Stop being a nice guy cause she think ur a fool. # The best thing a woman can do to a nice guy is to put him in a friend zone because women think that...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Kwanza kabisa mimi ni mwanaume wa mkoani, bata bata za club nimezijulia Hapa Mjini Mzizima.. Katika mji huu wa Mzizima nimeshatimba club zaidi ya 50! Bahati mbaya ama nzuri nimepata experience...
12 Reactions
218 Replies
20K Views
Tujuane mapema wale tutakao kuwepo # kililove.....Hyatt regency Kwenye siku ya Valentine Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
170 Replies
11K Views
Kuna vitu vinashangaza sana hasa hasa ni haya mazee ambayo ni mabosi Unakuta zee zima ni Malaya eti kisa ni CEO Wa kampuni Fulani ndio unatumia wadhifa wako kuharibu mabinti za watu au wake za...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Jumapili iliyopita nikiwa nyumbani nimetulia na familia nikasikia hodi. Mdogo wangu kwenda kufungua akawakaribisha wageni ukumbini. Kutokea sebuleni nikashangaa ni mtu aloniacha kwa kashfa na...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 26 muislam ninaishi Dar, mweupe mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri (sio uzuri wa muonekano tu, na uzuri kutoka rohoni) anaye ishi Dar Au mkoa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…