Hii ni kwa wale walio kwenye ndoa na walio na mahusiano yenye ramani.
Kuna vijitabia ambavyo mwanamke atafanya wewe kama mwanaume utapata shaka lakini relax hayana madhara ingawa kwa sura yake...
Kwa uzoefu wangu wote wa kwenda club na bar japo mimi siyo mnywaji wa pombe sijawahi kutongoza bahamedi,
Nikimtaka tu namvuta kwa bia mbili naenda kwa manager namtoa lock kwa pesa ya kesho...
Wakuu mambo vp?
Kuna manzi kajilengesha jana jioni/usiku nkaona isiwe tabu nkamwita akaja kaingia ndan nkaanza kula mzigo...
Baada ya kama lisaa hivi tumepumzika (midnight) na manzi yupo hoi...
Habari za jioni wakuu, awali natoa pole kwa pilika za kutwa kwa ujumla wake.
Kama mada inavyojieleza hapo juu.
Naomba kufahamishwa kuhusu vigezo na masharti ya kufunga ndoa ya kiserikali...
Waheshimiwa habari za wakati huu. Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa lakini sipati majibu sahihi. Hivi unavoanzisha uhusiano na mtu kinachoanza ni kumpenda mtu au kumtamani huyo mtu...
Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,
1, wanawake hutupikia chakula
2,hutuzalia watoto
3,huwalea watoto wetu
4,hutunza siri zetu
5,hutufulia nguo zetu
6,Hulea...
Wazee nlimmisi demu wangu akija tuu ndoa alikuwa arabuni kama msaidizi wanyumbani raha iliyoje kurudi nyumbani.
Akitua tuu ndoa sichelewi msio na madem walioenda nje post yenu...
Naomba nijuzwe utaratibu wa kufunga ndoa ya kiserikari ukoje?
Gharama zake na vitu gani vya muhimu ukitaka kufunga ndoa hiyo?
inachukua muda gani kufungwa mara tu baada ya kutoka...
Habari za mda huu wana Jf, kuna issue imenikuta inanichaganya akili yangu nami nilishaapa kutokupenda tena lakini naona moyo umebadilisha gear angani. Issue yenyewe iko hivi nimekuwa na urafiki wa...
Wanagenzi mpo!.
Mapenzi na ndoa sio jambo la utani, Ukiamua kuingia ujipange vilivyo. Jamaa yangu ambaye tayari ameoa ana mchepuko wake wa muda mrefu, na katika mahusiano yao walikubaliana...
Kijana Yuma Shinohara mwenye umri wa miaka 25anaushangaza ulimwengu kwa kusema kiuwa alikuwa akitioka kimapenzi na mende na kwamba anajua balaa.
Yuma ambaye ni mtaalamu wa wadudu anasema...
Nashangaa sana baadhi ya wanaume wenzangu wanafumania wake zao na bado wanaendelea kuishi nao[emoji35],
Imefikia mahali mtu analeta thread humu Jf kuwa karudi nyumbani bila taarifa kamkuta...
Fahamu jinsi ya kuwasiliana na mtoto mchanga - mtoto mchanga akiwa ameshiba, ataachia ziwa au kikombe cha maziwa, atafunga mdomo ishara kuonyesha hataki kuendelea kunyonya. Atageukia pembeni na...
Habarin wapendwa
Nina best angu nafanya nae kazi office moja, amesahau password ya Jf amehangaika mpaka amechoka..
Nikamshauri afungue I'd nyingine Jana kanifata ananiambia vivi nifanyaje jaman...
Habarini za jioni waungwana.
Leo nimepatikana mwenzenu. Nilikua Facebook nikapata meseji ya mdada wa kizungu. Nami bila hiyana nikaanza kuchat nae. Baada ya muda flani akafanya video calling nami...
Moja kati ya emoj zinazotumika kama "Kichaka" cha kukimbilia na kutoa ishara batili, basi ni emoj yenye alama ya upendo ambapo imekuwa ikiandikwa kwa namna na mitindo tofauti tofauti kama...