Amefanya ngono na mpenzi wa zamani wiki moja kabla ya ndoa na ni Mjamzito

Mwagito84

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
235
705
Wanagenzi mpo!.

Mapenzi na ndoa sio jambo la utani, Ukiamua kuingia ujipange vilivyo. Jamaa yangu ambaye tayari ameoa ana mchepuko wake wa muda mrefu, na katika mahusiano yao walikubaliana kabisa kuwa bidada akipata mtu wa kumuoa basi jamaa hana hiyana atamruhusu aolewe.

Huku na huko binti akapata jamaa mmoja aliyefika bei tayari kwa ndoa. Basi binti akamweleza jamaa yangu kuwa tayari ashapata mtu jamaa akamwambia poa kila la kheri katika ndoa yako. Wakati binti anamuarifu jamaa juu ya kupata mtu walisitisha mahusiano ili binti aconcetrate kwa mdau mpya.

Binti akabeba na mimba ya jamaa mpya, Juzi hapa jamaa yangu kamuomba binti waonane sehemu amsabai demu bila hiyana katokea kwenye miadi na tumbo lake la miezi 6. Jamaa akaomba akuzie, kwani kanyimwa! Jamaa kala mzigo kama wake vile na jmosi ya tarehe 16 binti anaolewa rasmi.

Kama unafikiri kumpa mimba mwanamke ndo kumtuliza inabidi ufikirie upya hiyo plan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnadhan mkitupa wanawake mimba mnatukomoa,nope ni jukumu letu kubeba mimba na kuzaa.
Na sikuhizi hatutoi mimba,labda vianafunz vya secondary, tunazaa vitoto vicute hataree na maisha yanaendelea.
So jamaa yako ajipange,huwezi mkomoa mwanamke kwa kumpa ujauzito ni jukumu lake toka kwa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
hujaelewa story kulingana na coment yako

rudia tena kusoma mkuu
 
Wanagenzi mpo!. Mapenzi na ndoa sio jambo la utani, Ukiamua kuingia ujipange vilivyo. Jamaa yangu ambaye tayari ameoa ana mchepuko wake wa muda mrefu, na katika mahusiano yao walikubaliana kabisa kuwa bidada akipata mtu wa kumuoa basi jamaa hana hiyana atamruhusu aolewe. Huku na huko binti akapata jamaa mmoja aliyefika bei tayari kwa ndoa. Basi binti akamweleza jamaa yangu kuwa tayari ashapata mtu jamaa akamwambia poa kila la kheri katika ndoa yako. Wakati binti anamuarifu jamaa juu ya kupata mtu walisitisha mahusiano ili binti aconcetrate kwa mdau mpya. Binti akabeba na mimba ya jamaa mpya, Juzi hapa jamaa yangu kamuomba binti waonane sehemu amsabai demu bila hiyana katokea kwenye miadi na tumbo lake la miezi 6. Jamaa akaomba akuzie, kwani kanyimwa! Jamaa kala mzigo kama wake vile na jmosi ya tarehe 16 binti anaolewa rasmi. Kama unafikiri kumpa mimba mwanamke ndo kumtuliza inabidi ufikirie upya hiyo plan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ni usiwe na mwanamke mmoja, pia kumbuka kuzalisha kwingine pia.
 
Tatizo mnadhan mkitupa wanawake mimba mnatukomoa,nope ni jukumu letu kubeba mimba na kuzaa.
Na sikuhizi hatutoi mimba,labda vianafunz vya secondary, tunazaa vitoto vicute hataree na maisha yanaendelea.
So jamaa yako ajipange,huwezi mkomoa mwanamke kwa kumpa ujauzito ni jukumu lake toka kwa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee ongea upuuzi baada ya miaka 5 umekongoroka.
 
Ndio maana sina muda wa kuwafikiria wanawake ukiacha kupatwa kwa nyege

Back
Top Bottom