ADHABU KWA KOSA LA KUFUMANIA

ADHABU KWA KOSA LA KUFUMANIA

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,503
Reaction score
2,277
Nashangaa sana baadhi ya wanaume wenzangu wanafumania wake zao na bado wanaendelea kuishi nao[emoji35],

Imefikia mahali mtu analeta thread humu Jf kuwa karudi nyumbani bila taarifa kamkuta Mwanaume ndani na mke wake na akatambulishwa kuwa ni kaka yake ilihali anatambua fika ni uongo[emoji23],

Sijui unakuwa na uvumilivu gani wa kuliacha jambo kama hilo lipite[emoji848]....Baadae mwanamke apate mimba azae mtoto uje tena ulete uzi kuwa "Nimegundua mtoto si wangu" wakati umesahau kuna kaka yako bandia ulitambulishwa hapo awali,

Mie sitoi kadi ya njano kwa mwanamke atakae kuwa na mimi kimahusiano na nikamfumania au nikanusa harufu ya usaliti kwa ku-prove, Hiyo ni Direct Red card!

Yapo makosa nitakayompa mwanamke kadi ya njano kama vile kuniomba pesa kwa wastani wa juu[emoji23]

Ila kwa kosa la kumfumania kiumbe huyu aitwaye "MWANAMKE" hiyo ni direct Red card....Sihitaji msaada wa Video Assistant Referee [emoji23][emoji23]

Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SASA si ungejibu huko kwenye huo uzi AU LAZIMA NA WEWE UANZISHE UZI? shameful

Kula kiboga hakuna namna nyengine
 
Write your reply...yaah mkuu mkutufumania na wake zenu waadhibun wake zenu mtusamehe sisi wanaume wenzenu wametulaghai hao wanawake halafu wanaume wote ni ndugu tunasameana haya masuala ya KY jelly tuyaepuke ni dhambi sana kwa mwenyez siunajua waliongea hadi na shetani
 
mbona kama unaumia sana, unatukana nini sasa, kipi kimekufanya uumie? sio badala ya kujibu hoja kwenye uzi husika na wewe unanzisha uzi? mods: futa huu ujinga

Nimefanya kama marejeo kutoka kwa wengine kutengeneza kitu kimoja, wewe mwenyewe mwehu tu! Ndio nyie vivulana uchwara vya dar! Pumbaff zako....[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa sana baadhi ya wanaume wenzangu wanafumania wake zao na bado wanaendelea kuishi nao[emoji35],

Imefikia mahali mtu analeta thread humu Jf kuwa karudi nyumbani bila taarifa kamkuta Mwanaume ndani na mke wake na akatambulishwa kuwa ni kaka yake ilihali anatambua fika ni uongo[emoji23],

Sijui unakuwa na uvumilivu gani wa kuliacha jambo kama hilo lipite[emoji848]....Baadae mwanamke apate mimba azae mtoto uje tena ulete uzi kuwa "Nimegundua mtoto si wangu" wakati umesahau kuna kaka yako bandia ulitambulishwa hapo awali,

Mie sitoi kadi ya njano kwa mwanamke atakae kuwa na mimi kimahusiano na nikamfumania au nikanusa harufu ya usaliti kwa ku-prove, Hiyo ni Direct Red card!

Yapo makosa nitakayompa mwanamke kadi ya njano kama vile kuniomba pesa kwa wastani wa juu[emoji23]

Ila kwa kosa la kumfumania kiumbe huyu aitwaye "MWANAMKE" hiyo ni direct Red card....Sihitaji msaada wa Video Assistant Referee [emoji23][emoji23]

Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
bado hujapenda wewe. usione wapumbavu waliofimania wakasamehe, huwa mapenzi yamewazidia yamewafika kooni, wanawaza wataishi vipi bila hao wapenzi wao, wanaanza kujitathmini kutafuta chanzo ilikuwa nini huenda hakumuonesha huyo mkewe mapenzi, matokeo yake mtu anaamua kusamehe, mapenzi ni kitu complex saaana, kila mtu atatumia akili yake kupambana nayo.

mkuu, unampendaje mtu unajua fika anachepuka na mtu na umemshuhudia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu!
Write your reply...yaah mkuu mkutufumania na wake zenu waadhibun wake zenu mtusamehe sisi wanaume wenzenu wametulaghai hao wanawake halafu wanaume wote ni ndugu tunasameana haya masuala ya KY jelly tuyaepuke ni dhambi sana kwa mwenyez siunajua waliongea hadi na shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa sana baadhi ya wanaume wenzangu wanafumania wake zao na bado wanaendelea kuishi nao[emoji35],

Imefikia mahali mtu analeta thread humu Jf kuwa karudi nyumbani bila taarifa kamkuta Mwanaume ndani na mke wake na akatambulishwa kuwa ni kaka yake ilihali anatambua fika ni uongo[emoji23],

Sijui unakuwa na uvumilivu gani wa kuliacha jambo kama hilo lipite[emoji848]....Baadae mwanamke apate mimba azae mtoto uje tena ulete uzi kuwa "Nimegundua mtoto si wangu" wakati umesahau kuna kaka yako bandia ulitambulishwa hapo awali,

Mie sitoi kadi ya njano kwa mwanamke atakae kuwa na mimi kimahusiano na nikamfumania au nikanusa harufu ya usaliti kwa ku-prove, Hiyo ni Direct Red card!

Yapo makosa nitakayompa mwanamke kadi ya njano kama vile kuniomba pesa kwa wastani wa juu[emoji23]

Ila kwa kosa la kumfumania kiumbe huyu aitwaye "MWANAMKE" hiyo ni direct Red card....Sihitaji msaada wa Video Assistant Referee [emoji23][emoji23]

Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes! Usipo mwacha baada ya kumfumania,basi utamwacha ukifa. Hata hivyo,nashauri wanawake wa aina hiyo waachwe kiulaini bila kufanyiwa ukatiri wowote wa kudhuru mwili/maisha
 
KUACHA MWANAMKE umpendae UNAPASWA uwe na Roho ya CHUMA MKUU...yaani UKIACHE KICHUGUU kiliwe na MCHWA HIVI HIVI....ni ngumu MKUU,,, sio WANAUME wote wenye MOYO HUO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom