Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,
1, wanawake hutupikia chakula
2,hutuzalia watoto
3,huwalea watoto wetu
4,hutunza siri zetu
5,hutufulia nguo zetu
6,Hulea mama zetu
7,hutushauri kwa mambo mbali mbali
8,kuburudisha miili yetu [sex]
9,hutuuguza pale tunapougua
Swali kwenu wanaume kwanini mnawapiga wanawake? Babu yangu ameni hasa wanawake hawapigwi bali wanabembelezwa.
MKEO AKIKUKOSEA MUOMBE WEWE MSAMAHA NAKUAMBIA HATORUDIA TENA LILE KOSA.
Sent using Jamii Forums mobile app