Nimesahau password ya JF

Madam vivian original

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
494
1,000
Habarin wapendwa
Nina best angu nafanya nae kazi office moja, amesahau password ya Jf amehangaika mpaka amechoka..

Nikamshauri afungue I'd nyingine Jana kanifata ananiambia vivi nifanyaje jaman, nimefungua Ac mpya ya Jf inakabilibia miezi miwili kila nikiingia inaniambia bado coordinator hajaiproval ifanye kazi.

Msaada jaman nimsaidie best angu, afanyaje anakumbuka username ila password amesahau.

Ana maswahiba wake humu ameshamiss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,299
2,000
Aendelee tu kuvumilia mambo yatakua shwari. Hata mimi nilikuwepo humu kitambo lakini baada ya kusahau password, imenibidi kujisajili tu upya. Baada ya kujisajili mambo yakawa tofauti.

Kuna mtu anaitwa 'admin', huyu anazingua sana kwani huwezi kuposti chochote humu hadi yeye aridhie baada ya siku kadhaa tofauti na zamani ndani ya dk chache tu unajikuta umeshakua Jf new member.
 
lhera

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
1,847
2,000
Habarin wapendwa
Nina best angu nafanya nae kazi office moja, amesahau password ya Jf amehangaika mpaka amechoka..

Nikamshauri afungue I'd nyingine Jana kanifata ananiambia vivi nifanyaje jaman, nimefungua Ac mpya ya Jf inakabilibia miezi miwili kila nikiingia inaniambia bado coordinator hajaiproval ifanye kazi.

Msaada jaman nimsaidie best angu, afanyaje anakumbuka username ila password amesahau.

Ana maswahiba wake humu ameshamiss

Sent using Jamii Forums mobile app
Msaidie awe anajitungia password nyepesi mfano unaweza kuandika jina lako au unaandika nakupenda mama nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madam vivian original

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
494
1,000
Wakuu tumehangaika SNA tumeshindwa, inatuambia reset then ukifanya hivyo unakwambia file does not exist tumekata tamaa, amesema atakuwa ndugu msomaji amedowload app ya jf awe anasomaga Ila hataweza kushare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom