Bahamedi hatongozwi

Bahamedi hatongozwi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Kwa uzoefu wangu wote wa kwenda club na bar japo mimi siyo mnywaji wa pombe sijawahi kutongoza bahamedi,

Nikimtaka tu namvuta kwa bia mbili naenda kwa manager namtoa lock kwa pesa ya kesho anamuachia nasepa nae kiulaniii.,

Sijawahi kutongoza bahamedi na sitawahi.

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom