Ukiona baba yako anakusumbua na kukuwekea masharti mengi nyumbani kwenu mfukuze mwambie akaishi kwa baba yake maana wewe hapo ni kwa baba yako...[emoji1614]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilibahatika kuwa karibu na binti mmoja hivi ambaye aliniomba ushauri alikuwa anataka kuachana na mumewe na alitaka kutoroka amuachie watoto,nikamketisha chini nikampa ushauri nikamwambia...
Kwenye Maisha, Kuna vitu vinaweza kukuweka kwenye wakati mgumu usijue ufanye kipi na kwa wakati gani kwangu, hili lililonikuta mwenzenu naona kabisa...naenda kusababisha mgogoro mkubwa sana kwenye...
"pay before bill" ni tangazo nililolikuta chumbani kwa mdada mmoja wakati naenda kumtindua ghetoni kwake,
Hakika sikuongea nilichofanya ni kuzama mfukoni na kutoa mwekundu mmoja na kifaru kwa...
Habari wanajf!
Niende kwenye mada husika moja kwa moja. Jamani wanaume kuna wakati tuwe wawazi tu katika mahusiano yetu kuwa ni ngumu sana kwa mwanaume rijali kuwa na mke mmoja! Najua wapo...
Moja ya mambo ambayo wazee wengi wa miji wameshindwa kujizuia ni hili swala la kuwatafuna mahouse girl. Mpaka sasa hivi nimeweza kwani mke wangu yupo masomoni nje ya mkoa niliopo na kwa muda mrefu...
Uvaaji wa shanga miguuni au kikuku ni urembo wa Muda mrefu hasa kwa kabila LA wamasai,..tukiachana na wamasai kwenye jamii nyingine wavaa vikuku wanaonekana wahuni,
Ila upande mwingine wanatetea...
Ni mwaka wa Pili sasa tupo kwenye ndoa, nimejuananae toka tupo chuo mwaka wa kwanza.
Tuliishi pamoja ghetto hadi tunamaliza chuo, ivo namfamu vizuri Mke wangu na yeye ananifamu vizuri.
Mara...
Wakuu habari zenu,
Siku yangu ya Leo imekuwa mbaya zaidi nimesoma habari imeniondolea furaha yangu kabisa, sitaki kuelezea zaidi kuhusu hili
Ilikuwa ni ndoto yangu ya mda mrefu kulea watoto wasio...
Kila Siku watu wanaanzisha na kuvunja mahusiano na wapenzi wao.
Vipi mdau, mliachanaje na mpenzi wako?Hapa ni wale wa mtaani (michepuko) ambao huna malengo nao. Mimi nikipata papuchi najitoa...
Wakuu wakuu rejea title hapo juu madhara yake utayaona baada ya muda mfupi kataza mkeo kuchezea izo gururu. Utekelezaji mwema MI zangu no
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPA PINDI ANAPORUDI NYUMBANI:
1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga waga wako chap sana.
2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia...
Wakati huu ambao unajiona wewe umekua na huwezi kumfanyia mumeo yale mambo yaliyokuwa yakimvutia kipindi alichokuwa anakunyapia, ujue ndivyo unavyozidi kutoa nafasi kwa wasichana wengine kumfanyia...
Mwanaume unatakiwa kujitambua na kujiheshimu bila kusahau kuutunza ujana wako kwa maneno yenye hekima na busara, kama wewe ni kijana na haujaoa na una miaka 25 kwenda juu basi jua wewe ni baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.