Ndugu zangu kama kijana mwenzenu nawashauri kama huna sababu za msingi usiingie kwenye mahusiano,
Mahusiano ya sasa ni hasara tupu, hakuna faida hata moja utakayopata zaidi ya kujiongezea matatizo.
Tatizo la kutokuhuzuria vikao ndo Haya sasa,
Wanaume na nyie baadhi yenu Kuna kaushamba flani mnako Tena kanaboa saana ndo maana hata mnavyo tongoza wadada wanawakataa ......mfano mtu.....
👇...
HIVI UNAWEZA KUMRUHUSU MKEO AKAFANYE KAZI BAR? TENA ANALALA HUKOHUKO WIKI NZIMA, IKIWA TU WEWE MME UMEFULIA KIFEDHA NA MNA MTOTO MDOGO.
TOA MAONI YAKO.
Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani, mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale...
Habari wakuu,
About
Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua.
mimi nime jiajiri kwenye masuala ya...
Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye...
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu...
Habari zenu.
Nianze na kuwapa pole na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na tuchukue hadhari na Coronale kwa kuzingatia kanuni za Afya.
Leo nimemkumbuka sana rafiki yangu aliedumu kwa masaa 2 tu...
Habari za muda huu
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27.
Miezi minne iliyopita nilikutana na Binti wa miaka 25 ambae tuliingia kwenye mahusiano kwa takribani miezi minne ila tuliachana kutokana...
Wakuu kwema,
Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana...
Haiyaaaa Ayaaa!
Nimerudi 😂😂😂😂
KAMA UNAITAKA HII HADITHI COMMENT NAITAKA
NATAKA COMMENTS 200 KWANZA ZINAZOTAKA NILETE HADITHI, NDIO NILETE HADITHI
KWA MNAO NIFAHAMU MNANIFAHAMU
KWA MNAOPENDA...
MTIHANI WA TAIFA WA SOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025.
JIBU MASWALI YOTE.
Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂
1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla...
Wengi tunaweza kuwa na sababu nyingi za kuingia au kuwa kwenye mahusiano; ingawa pia, wapo waliojikuta tayari wapo kwenye mahusiano bila kuwa na sababu maalumu.
Tupe sababu ya wewe kuwa au kutaka...
Mwanamke anaedhani kakuonea huruma kuwa na wewe, anakwambia wazi kuna wanaume wenye pesa kukuzidi kila siku wanamtafuta, huyu tayari ana options siku yoyote anakukimbia.
Mwanamke ambae hajui...
1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka
2.Mheshimu.
3.mpe yote kitandani
4.usimufokee
5.usiwe mropokaji
6.mpikie...
Kwema humu?
Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje?
Ngoma iliishaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.