Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamaa anaomba ushauri Habari zenu, kuna binti niko naye kwenye mahusiano yapata miezi 8 sasa, nimefika hatua ya kutambulika kwao na yeye kutambulika kwetu, Ila kipindi naanza naye mahusiano...
6 Reactions
125 Replies
12K Views
Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja...
0 Reactions
4 Replies
345 Views
10 Rules Every Man Must Live By To Earn Respect & Success Discipline and character define a man. These 10 rules will guide you to build respect, attract opportunities, and stay true to your...
2 Reactions
2 Replies
549 Views
Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako. Pesa ni ngumu utawala huu wa...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Jina: Ismail Umri: Miaka 29 Uraia: Mtanzania (kwa sasa naishi Zambia) Kazi: Dereva wa magari makubwa, pia nina ujuzi wa kompyuta na teknolojia Dini: Muislamu Tabia: Mpole, mcha Mungu, muwazi...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wajomba kuna uncle wangu ameowa huku ukanda wa pwani ni mwaka wa nne now hukuna mtoto. Mwanamke hataki kushika mimba wala kuzaa naye mjomba anasema bado time. Afu kibaya kuna location kapin Mme...
8 Reactions
82 Replies
3K Views
Salama Wakuu.. Humu jukwaani kumekuwa na uzi unaotembea kwa kasi sana tena kwa miaka mingi bila kusleep hata kwa dakika 120 tu wa kula tunda kimasikhara.. Ila najua kuna kina sisi ambao kwa...
24 Reactions
167 Replies
18K Views
BINTI YANGU Tafadhari ukimaliza kusoma naomba ushauri wako Stori inaanzia 2020 mwezi wa saba tulishindwa kuishi pamoja na suluhu ikakosekana tukaachana kwa fujo nyingi kwake yeye mwanamke...
11 Reactions
129 Replies
5K Views
Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Jamani.... Leo napenda kuinama kwa heshima mbele ya wanawake hawa mashujaa — wamama wanaosimama peke yao katika jukumu zito la kulea, kufundisha, kulinda, na kupenda watoto wao kwa hali na mali...
2 Reactions
11 Replies
607 Views
Kama we ni mwanaume mwenye kibamia na unajiona mnyonge kutokana na maumbile yako basi ondoa shaka Tafiti zinaonyesha wanaume wenye uume mdogo(kibamia) ni vigumu sana kupata magonjwa ya zinaa...
11 Reactions
128 Replies
6K Views
Katika hali ya kushangaza siku ya Jumamosi, sherehe ya harusi iliyotangazwa sana mpaka mitandaoni ilizua tafrani kubwa patashika nguo kuchanika.. huku bibi na bwana wakirushiana makonde ngumi na...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Kimsingi ili watu wawe marafiki ni lazima wawe na vitu mfanano vya kuongelea, kwa maana kama hamna vitu mfanano vya kuongelea ni ngumu kutengeneza ile bond kati yenu kwa maana baada ya Salam...
5 Reactions
9 Replies
843 Views
Kwa wanyambo tunacheza na namba tatu, ndivyo tulivyo. Kwako mdada kulingana na kabila lako wewe ni namba ngapi hapa..? Kwenu wanaume mnapenda namba ngapi hapa..?
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Hii mada ni nzito sana, inaumiza lakini pia ni ukweli mchungu wa maisha. Watu wengi walio na moyo safi, wenye upendo, waliojitolea, wanajikuta wameumizwa, wamedharauliwa na kusahaulika huku wale...
10 Reactions
8 Replies
816 Views
Natumaini mkopoa Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba...
23 Reactions
132 Replies
5K Views
Vijana wa kizazi chetu wanaishi maisha ya mkanganyiko. Tumefundishwa tangu tukiwa wadogo kwamba tusome kwa bidii, tufikie ndoto kubwa, tutengeneze maisha bora kuliko ya wazazi wetu. Lakini sasa...
4 Reactions
1 Replies
280 Views
Huyu ni member wa zamani humu Jf nimemmiss tu bhana hajaonekana hili ni jukwaa la mapenzi ,mahusiano na urafiki,kwahiyo siyo vibaya kumtag member ambaye humsomi na unamwelewa. C.C Husninyo Viol
8 Reactions
89 Replies
3K Views
#MsasaUnusual Akata Umeme Kijiji Kizima Kisa Simu Ya Mpenzi Inatumika (Busy).... Katika tukio la kushangaza, mwanaume mmoja nchini India alikata umeme wa kijiji kizima baada ya simu ya mpenzi...
2 Reactions
5 Replies
394 Views
Mwamvita makamba, kupitia ukuta wake wa twitter, amepost haya kuwaasa wadada kuhusu sembe.. Girls: Kama huna akili- hujasoma na huna kazi, Kama ni mvivu na sio mbunifu, Mpenda dezo na huwezi...
1 Reactions
387 Replies
53K Views
Back
Top Bottom