Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ma brother hakikisha mkataba wa ndoa una usaini kwa penseli. Uta nishukuru baadae, KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO.
18 Reactions
45 Replies
2K Views
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu...
51 Reactions
2K Replies
421K Views
Habari zenu. Nianze na kuwapa pole na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na tuchukue hadhari na Coronale kwa kuzingatia kanuni za Afya. Leo nimemkumbuka sana rafiki yangu aliedumu kwa masaa 2 tu...
14 Reactions
452 Replies
62K Views
Habari za muda huu Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27. Miezi minne iliyopita nilikutana na Binti wa miaka 25 ambae tuliingia kwenye mahusiano kwa takribani miezi minne ila tuliachana kutokana...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu kwema, Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana...
17 Reactions
122 Replies
6K Views
Haiyaaaa Ayaaa! Nimerudi 😂😂😂😂 KAMA UNAITAKA HII HADITHI COMMENT NAITAKA NATAKA COMMENTS 200 KWANZA ZINAZOTAKA NILETE HADITHI, NDIO NILETE HADITHI KWA MNAO NIFAHAMU MNANIFAHAMU KWA MNAOPENDA...
2 Reactions
5 Replies
631 Views
MTIHANI WA TAIFA WA SOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla...
1 Reactions
4 Replies
434 Views
Wengi tunaweza kuwa na sababu nyingi za kuingia au kuwa kwenye mahusiano; ingawa pia, wapo waliojikuta tayari wapo kwenye mahusiano bila kuwa na sababu maalumu. Tupe sababu ya wewe kuwa au kutaka...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Mwanamke anaedhani kakuonea huruma kuwa na wewe, anakwambia wazi kuna wanaume wenye pesa kukuzidi kila siku wanamtafuta, huyu tayari ana options siku yoyote anakukimbia. Mwanamke ambae hajui...
3 Reactions
9 Replies
671 Views
Hivi wakuu Kati ya kupigana miti mchana vs kupigana miti usiku ipi inanoga?
2 Reactions
60 Replies
3K Views
1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka 2.Mheshimu. 3.mpe yote kitandani 4.usimufokee 5.usiwe mropokaji 6.mpikie...
14 Reactions
66 Replies
3K Views
Kwema humu? Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje? Ngoma iliishaje?
2 Reactions
5 Replies
924 Views
Narrative Foundation Central Theme: The devastating consequences of deception in a long-distance relationship and the illusion of security built on lies. Core Conflict/Tension: The clash between...
1 Reactions
2 Replies
497 Views
Nafurahishwa sana kuona wajumbe wangu wakiendelea kunadi na kuzitangaza sera za chama chetu. Mimi kama Mtendaji mkuu wa shughuli zote za chama chetu cha Wanaume Bahili Duniani na katibu wa chama...
3 Reactions
10 Replies
597 Views
Hello Mwenzenu upweke utaniuaNatafuta mwanaume ambae tutenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume. Sifa zangu; Umri -37yrs Mtoto mmoja Mjasiliamali Mkristo- KKKT Sifa za...
22 Reactions
59 Replies
4K Views
Hii ni opposite thread ya ile ya kula tunda kimasihara. Kuna wakati tumewahi kuwa kwenye mazingira yenye opportunity ya kula/kuliwa tunda kimasihara ila tukashindwa/kuponyoka. Binafsi...
6 Reactions
9 Replies
6K Views
We mtu hatujafahamiana vyema Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ? Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi. Basi angalau vuta time kidogo...
26 Reactions
268 Replies
8K Views
BINAFSI HALI SIO NZURI KUNA WATU WANATESEKA SANA NA FAMILIA M ZIPO NDOA NYINGI SANA ZIKO IC7 SABABU YA DISTANCE MUNGU TUSAIDIE
2 Reactions
11 Replies
904 Views
Back
Top Bottom