Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bei , urahisi wa kufika?. Msaada wakuu
0 Reactions
62 Replies
19K Views
Niaje, JF MMU members?. Naombeni mnifundishe jinsi ya kuandika uzi matata. Kila siku nipo nasoma tu nyuzi za wanaMMU naona hali ngumu kwelikweli naogopa hata kuoa [emoji23]. Vidole tayari vinauma...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukweli ni kuwa; Kadiri unamvyompenda sana mwanamke ,ndivyo unavyokaribia kumpoteza. Wanawake kiujumla wanavutiwa na wanaume walio wababe, wenye misimamo na wasiojali sana. Wanawake hawapendi...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu wa MMU. Yafika miezi kadhaa sasa tangia niingie katika ndoa na kwa kweli niliweza kufanikiwa kabisa, achilia mbali kuacha kufanya yaani hata kuwaza kuhusu kupiga puchu...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu poleni na uchovu wa siku nzima. Nina demu wangu ambae tulifahamiana na kuanza mahusiano kwa muda sasa. Ila kuna tatzo kidogo katika mahusiano yetu. Mpenzi huyu ananilalamikia almost kila...
3 Reactions
99 Replies
9K Views
Habari ya muda huu wakuu. Bila kulazimishwa na mtu yoyote nimeamua kwa hiyari yangu mwenyewe kua mwaka ujao nahitaji kua na mwanamke wangu ambae nimemuoa. Nimewaza sana kuhusu maisha na umri pia...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
kesho ni birthday ya mchumba wangu, zawadi gani nzuri itamfaa? Msaada wenu wadau. Asanteni.
0 Reactions
58 Replies
22K Views
Sijui wanawake mkoje na mkiambiwa mnasema, "hakuna mada zingine zaidi ya hizi?" tutabadilisha mada kulingana na matokeo yenu. Ni kwamba huyu mdada amesha-date na wanaume kama sita ndani ya mwaka...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Masomo mengine buree, nilipata kusikia hii Siri kwamb ukigonga mwanamke Kama nyota yenu inawakawaka utashuhudia mazurii, Kama ni kimeo, mzee nuksi nuksi tu. Wiki kadhaa huko nyuma nilimtokea...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa uhenga nilionao,na wanaume ninaowapenda nimeona inakuwa ngumu kupata mwanaume ambae hana mtoto.au bikra.nakutana na used tupu.walio bikra wapo ila wapo complicated kuliko hali ya vyama vya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu wanajamvi bila kupoteza mda iko ivi mke wangu kajifungua mwezi wa12 mwaka jana baada ya kujifungua nmekaa wiki tatu bila kufanya chochote, Sku kazaa zilizofuatia nmefanya tendo mara kazaa...
5 Reactions
111 Replies
11K Views
Wadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa. Kifupi ni kwamba nina girlfriend wangu niko nae for 5years sasa kwa up and down ila kuna...
5 Reactions
140 Replies
12K Views
Nadhan toka Jumapili niliwaambia nilikuwa na mgeni wa Kimataifa alikuja TZ kwa ajili ya kufanya show nami nikiwa mtanzania pekee niliyechaguliwa toka jukwa hili la MMU kuwakilisha ndugu zangu mlio...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwaka 2012 nlikuwa dodoma kikazi. Mara nyingi tu huwa naenda mkoa huo na mikoa mingine kikazi. Nlikuwa nmefikia kwa jamaa yangu yeye alikuwa anaishi zile nyumba za serikali alikuwa anafundisha...
21 Reactions
171 Replies
23K Views
Je utamu wake unakukoleza? Uzi tayari. CC Zero IQ
2 Reactions
2 Replies
587 Views
Habari wakuu, Kichwa chajieleza, Mimi ni mmoja wa watu nilie kuzwa na single mother japo mama yangu aliolewa tena, mpaka leo yupo na baba angu wa kambo. Najua humu kwenye jukwaa hili kuna watu...
61 Reactions
252 Replies
23K Views
Natumai wote muwazima kabisa.leo naomba tupeane uzoefu wa kuangalia njia ambazo unaweza kutumia kufikia lengo lako la kumpata mke mwema hasa kupitia mitandao ya kijamii vile Hapa JF na FB N.K...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, Kila jamii ina utaratibu wake linapokuja suala la ndoa..utaratibu wa kabila langu siujui kiundani ila naomba niwashirikishe utaratibu huu niliowahi kukutana nao. Ni hivi...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Mdada unamuona ana mtako m big kumbe kavaa chupi yenye kumuongezea mzigo alafu na nguo zinawabebaba Sana ukienda naye guest akivua nguo utashangaa mbona ka pass.akiwa mjini utadhani kajazia kumbe...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…