Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna watu wanasema kuwa kama mwanaume umetahiriwa unapoteza asilimia 40 ya pleasure unayoipata wakati ukifanya tendo la ndoa. Kuna mwanaume yoyote hapa ambaye alishawahi kufanya tendo la ndoa na...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Wadada hizo kauli zenu utafikiri dunia nzima kuna mwanamke mmoja 🤣🤣🤣🤣 au ndo hua mnatulaani tusipate mwingine Eti wadada mnamaanishaga nini?
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh...
28 Reactions
85 Replies
4K Views
Huyu mwamba anaitwa Musa Mseleku ana miaka 48 na ameoa wake wanne kwa furaha, sawa kuna changamoto zahapa na pale kwasababu hulka na silica ya wanawake imeja vitimbi ila hicho ndo kipimo cha...
5 Reactions
22 Replies
822 Views
Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃 Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa...
19 Reactions
130 Replies
6K Views
Kristo ni tumaini letu, Mapendo daima. Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi. Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku, kule, na humo...
19 Reactions
215 Replies
11K Views
Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka...
191 Reactions
1K Replies
84K Views
Dem akijibu hivi, nitumie swaga gani hapa kumshawishi By the way hata mm ni mpigaji tu
2 Reactions
18 Replies
933 Views
Mke alale uchi asilale na nguo na mume ingefaa alale pia uchi ila kwa sababu za kiusalama kitengo inabidi walau awe na kitu for emergency sasa yafaa alale na kanzu ili aipandishe kama dera...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu kamwene... Kuna mdada nimempenda ndo natarajia awe mke wangu wa pili maana binafsi si mtu wa michepuko na sipendi uamuzi wangu ni kuwa na wake wawili na mke wangu nilishamueleza hilo. Mimi...
4 Reactions
16 Replies
941 Views
Kila nikiwaangalia, najiona mimi, ni warembo kwelikweli, kitu ambacho watafurahi sana wakikua na kuniona mimi, wataona nimewarisisha kitu kilicho chema. Napenda sana Uzuri
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Hii Dunia tupo watu wenye haiba mbali mbali rahisi na ngumu katika kuishi na wengine na bahati mbaya kuna haiba hazibadiliki wala kurekekebishika hivyo unachotakiwa ikiwa utakutana na mtu mwenye...
3 Reactions
6 Replies
574 Views
Hamjambo! Baada ya kuchunguza historia ya mahusiano yake, past yake ambayo kwako ndio future ya uhusiano wenu. Jambo la pili kubwa ni kuangalia mahusiano ya huyo mchumbaako wa kike na Babaake...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Wale mademu ni watamu sana,alafu akifika kanisani anakuwa mnyenyekevu na hasa awe muimba kwaya,atakuwa anatikisa kalio hilo huku wewe unaitikia tu amina Maua yenu wadada nyie.
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Mapenzi ni kama moto , moto ukiuchochea unakolea zaidi na usipouchochea unazimika , kuna mambo unatakiwa uyafanye ili kuzidisha nguvu kwenye mapenzi yenu yazidi kuimarika yawe bora siku hadi siku .
4 Reactions
20 Replies
855 Views
Alipoenda tu, ghafla akafa... Unayo lakini au ni umbeya tu? Matibabu yake ni makubwa lakini hajashiba, alisoma vizuri, hospitali alienda... Wale mbwa wengi sana...
0 Reactions
203 Replies
15K Views
Ndoa hizi zitatuua. Jamani ipo hivi. Mimi ni mume mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani...
31 Reactions
179 Replies
9K Views
Hili tukio lilishanisibu jamani yani mpaka leo siwaamini kina dada japokua siyo wote. Ila namshukuru Mungu nilisahau mapema na maisha yana songa kama uko kwenye mahusiano bora utulie tu na mtu...
6 Reactions
136 Replies
15K Views
Kuna kitu wanaume huwa hawa admit mana wanaona kukubali hii ni kama sio urijali, ila unaweza ukatokea tu unamkubali jamaa fulani naturally, labda ukimuona au kumsikia, haimaanishi kwamba wewe sio...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Za saizi wajumbe? Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani. Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana " Sasa...
8 Reactions
62 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…