Tendo la ndoa kabla na baada ya kutahiriwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendo la ndoa kabla na baada ya kutahiriwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by EMT, Dec 26, 2010.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanasema kuwa kama mwanaume umetahiriwa unapoteza asilimia 40 ya pleasure unayoipata wakati ukifanya tendo la ndoa. Kuna mwanaume yoyote hapa ambaye alishawahi kufanya tendo la ndoa na mwanamke huyo huyo kabla na baada ya kutahiriwa? Je, kulikuwa na tofauti yoyote as far as pleasure is concerned? Pia wapo wanawake waliowahi kufanya tendo la ndoa na mwanaume huyo huyo wakati akiwa bado hajatahiriwa na pia baada ya kutahiriwa? Kulikuwa na tofauti yoyote as far as pleasure is concerned?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  All life is an experiment. The more experiments you make the better.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Raha ya tendo la ndoa iko kwenye nini haswa? Wakati wa kumwaga ua kwenye nje-ndani?
   
 4. baha

  baha Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hata nikikwambia huwezi ku-draw conclusion kwa ku-base kwangu pekee maana pleasure yenyewe ni relative term. Fanya research kubwa ndugu!
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii ni part tuu ya research kubwa ninayoendelea kufanya.
   
 6. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wewe kwanza mkuu inakuwaje? Piga msasa kisu mzee mambo yote murua, kuhusu asietahiriwa mzee mimi na mtazamo tofauti kidogo, Asietahiriwa kweli msisimko na mtetemo ni mkali si mchezo maana unajua ile ngozi inafunika na nyma ya kitu inakuwa too soft ikigusa tu mkuu utamu unaanza kumea, ukipiga mbili tatu hapo jiandae makombola kuruka, kuhusu alietahiriwa ujue tayari nyama inakuwa kama ngumu kidogo so kusense inakuwa ngumu hivyo msisimko unakuwa si mchezo lakini sasa, ALIETAHILIWA kazi yake si mchezo, mziki mnene upo pale akianza kula kipupwe, mwanadada hasa wengi akiona tu mwanaume anamaliza faster wanaamini ndo ampendae au alikuwa na hamu nae au alimmiss kwa sana tuuu, Ukichelewa maswali mengi either umecheat and so far...nawakilisha tu mazeee....
   
 7. V

  Vumbi Senior Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tusubiri wa wa Mbeya na Kagera watatupa majibu mazuri, maana wengi wao wanamkono wa sweta.
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wanaumeee enhee naona mpo kwenye maongezi nilikpita tuu
   
 9. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Changia tu Roza bibie maana pia mnajua what the thing is.................
   
 10. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Sex is so damn over rated , raha ni joto ,ulaini wa nyama na wakati unapiga bao , hiyo kwa mtizamo wangu!
   
 11. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,207
  Trophy Points: 280
  Si kweli bwana mimi nimetahiri nikiwa form one, kabla ya hapo nilishafanya ngono na mademu wawili tofauti(mara nyingi), mmoja shule ya msingi na mwingine mtaani, lakini nikiwa na g.o.v.i. nilikuwa napata usumbufu kwani lazima ulivute kuacha kichwa wazi. Ukweli ni kwamba nafurahia sana baada ya kutahili maana hata demu kunyonya fimbo yangu napenda sana. Ila kuhusu utamu hakuna tofauti na raha ni ilie ile.
   
 12. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Changia tuu maana nimeuliza pia kama wapo wanawake waliowahi kufanya tendo la ndoa na mwanaume huyo huyo wakati akiwa bado hajatahiriwa na pia baada ya kutahiriwa? Kulikuwa na tofauti yoyote as far as pleasure is concerned?
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mimi nilitahiriwa bado nikiwa mdogo sana.
   
Loading...