Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi inakuaje ndugu yako wa damu anfurahi unapo patwa na matatizo. Umuamini nani dunia ya leo [emoji21][emoji37] Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Binti Nerie huko aliko atakuwa anakumbuka hii code . Hiki ni kikaratasi ambacho nlikuwa nakiandika na kumpa mdogo wangu apitishe nyumbani kwao huyo binti nikimtaka tuonane saa 1:30 jion sehemu...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Greatings from Tairus. However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
1 Reactions
0 Replies
518 Views
Wakuu nimetoka kutakari juu ya maisha ya kuoa nimeona bora jitihada zangu nielekeze kwenye kuwatumikia watu pamoja na kutoa huduma kuliko kuoa.. Ushauri kwa wale walio matowashi humu ndani nipeni...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu nimepagawa hapa cha Ajabu anasema nikikataa anapiga kelekele Kua nimembaka.. Ndugu msidandie mademu hovyo hawa watoto sio aisee! Bora nirudi Kijijini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
88 Replies
10K Views
Habari ndugu.. Naombeni kufahamu japo kidogo binafsi sina mtoto. Sasa linapokuja suala la kumpokea malaika huyu naombeni kufahamu kutoka kwenu ambao tayari mna watoto. Najua sio wote mlifurahia...
3 Reactions
162 Replies
16K Views
Nimekuwa nikitaman sana kula nyama nyeupe, kwn hizi nyekundu zimenichosha...! Kama kuna demu mzungu humu jf naomba tuwasiliane.
1 Reactions
78 Replies
15K Views
Habarini wana jamvi Hesabu hiyo hapo juu imekumba zaidi ya 90% ya wanaume katika mahusiano kwa namna mbili kuu 1. Kumuona mwanamke kwa mbali na ukavutiwa nae mara baada ya kumkaribia ndo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Simon Shabangu mkazi wa Soweto, Afrika Kusini, amekamatwa na polisi kwa kosa la kumuua mwanaume aliyembaka binti yake wa miaka mitatu. Simon alipomkamata mbakaji huyo alikata uume wake, akaupika...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Alikujaga na mpenz wang kwangu katik kupika story nikamwambia kuwa karibu na pale napokaa kuna GYM basi baada ya kama 3dayz akaend iyo GYM bila kunitaarifu wakati anatok kama mida ya 12jion ndo...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari kwenu wanajf natumaini wote ni wa wazima . Dhumuni la kuandika makala hii nikuomba ushauri mzuri kutoka kwenu . Mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha 6 mwaka jana na pia ufaulu wangu ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habarini wana jf niende moja kwa moja kwenye mada...nimeona wengi wakizungumza kuwa pasipo kufanya mpenzi basi hapo hakuna mapenzi ya dhati na pia kama si mzuri...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
WAZEE WASICHOFAHAMU ENZI ZAO; Nidhamu ilikuwepo Wanawake walikuwa hawavai Mawigi Wanawake walikuwa hawana vikoba Wengi wao waliwaoa wakiwa bikira etc Huwezi linganisha na Sasa unakuta katoto...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi mtu anapoombwa msamaha na kukataa kusamehe anajiskiaje?? Imagine umetofautiana na mtu na ili kurudisha amani na furaha ya mwanzo unaamua ujishushe na kuomba msahama. Kuomba huku msamaha...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Ni wajanja sana wanajua kuchuna hata kwenye hali hii hawakosi chakuongea utatoa tu hela na vitu wanavyokuambia wala hutakataa . Nakodi utalipa kabisa na hata ukitubania sisi akina katoto kazuri...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu mwenyewe life experience ya msumbiji anijuze hapa fasta nimemaliza degree mwaka Jana mwaka huu kuona tangaza la kazi nikavimba mashavu kumbe halinihusu! Sasa, kama Kuna mdau hapa Ana...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
I did not believe that it would end,no Everything came second (but you) You aint even speakin to my friends ,no You knew all my uncles and my aunts though.. Twenty candles blow em out and open...
1 Reactions
8 Replies
916 Views
Wenyeji wangu ambao mko jf mnielekeze Chimbo zuri la gambe! Na madem wakali wa kuondoka nao!
1 Reactions
50 Replies
9K Views
SALAMU KWA MASIKITIKO Taarifa rasmi ambayo nimeipata sasa hivi kutoka kwa mpenzi wangu ni kwamba ame DUKUA simu yangu. Kwakuwa mwezi ulopita alisafiri, ameamua kudukua mawasiliano yangu kwa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimechunguza nimeona mwanamke anakuwa mgumu sana kumkubali mwanaume alie single? Ila anakuwa mwepes kumkubali mwanaume alieko kweny mahusiano yake hasa wale waliopo kweny strong relationship awe...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…