Udugu si kufanana ni kufaana

Udugu si kufanana ni kufaana

Hivi inakuaje ndugu yako wa damu anfurahi unapo patwa na matatizo.
Umuamini nani dunia ya leo [emoji21][emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
INATEGEMEA;
-Mmekuzwaje tangu utotoni mwenu,
-Mlichukulianaje katika ukuaji wenu,
-Je,mliishi pamoja?,
-Mahusiano miongoni mwenu yalikuwaje,namaanisha kifamilia nzima,
-Mlikuzwa kimatabaka?,kubaguliwabaguliwa?
-Wazazi wenu ni wamoja?Namaanisha baba na mama siyo wa kambo au walezi tu?
-Mapokeo ya malezi ya dini yalikaajekaaje?
-Umri mmepishana kiasi gani?
-Familia mliyotokea ina hali gani kiuchumi?
-Mmeumbwaje(kiimani zaidi) kiroho katika kuwachukulia watu wengine bila kujali udugu(rohombaya au roho nzuri)?
-Mnayachukuliaje maisha na wanaoyaishi maisha?
 
Mimi namuamini baba angu tu hapa duniani
Nakushauri na wewe ufanye hivyo
Kweli?Nimefurahi kuona kuna watu wana imani na baba zao.Katika mashsuri mengi yatokeayo katika familia,akina baba huwa ni watu wa kutengwa baada ya kutimiza majukumu yao ya kukuza watoto na upendo wote hupewa mama pekee.Baba anajizeekea kwa upweke na uchungu tu.Bravo!
 
Mie baba ndio anaanza
Hakunaga kama baba

Japo mama nae mzuri
 
Kweli?Nimefurahi kuona kuna watu wana imani na baba zao.Katika mashsuri mengi yatokeayo katika familia,akina baba huwa ni watu wa kutengwa baada ya kutimiza majukumu yao ya kukuza watoto na upendo wote hupewa mama pekee.Baba anajizeekea kwa upweke na uchungu tu.Bravo!
Mimi nampenda baba yangu kuliko mama kwasababu baba amenilea kama rafiki na mtoto wake. Alinifanya ndio mshauri wake na nikijua wapi anaweka hela yake

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
mtoa mada pole sana kwa kusalitiwa na ndugu yako, ila malipo ni hapa hapa duniani.
 
Sure100%
IMG_20190406_165936_332.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nampenda baba yangu kuliko mama kwasababu mama amenilea kama rafiki na mtoto wake. Alinifanya ndio mshauri wake na nikijua wapi anaweka hela yake
Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hahahahahaaa! You were,and maybe still,friends with benefits!
 
Hivi inakuaje ndugu yako wa damu anfurahi unapo patwa na matatizo.
Umuamini nani dunia ya leo [emoji21][emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikirudi kwako muheshimiwa:Nadhani ni wakati sasa kwako;
-kutomuamini mtu awaye yote kwa lolote
-uwe msiri na muangalifu katika mambo yako
-mambo/maisha yamebadilika.Tusimuwekee nduguyo maneno.Hatujyi nini kimemkumba.
-Fanya mambo yako kwa bidii,maarifa ili kupata tija
-Ni muda wako wa kuingalia familia yako(kama unayo) na weye mwenyewe
-Ili hayo yaende vema jitahidi kutokuwa na kinyongo na huyo nduguyo au yeyote aliyekukwaza
-Kama ni muumini wa dini,basi zidisha maombi na kutoa sadaka.
 
Nashkuru

Back
Top Bottom