Watoto wa Mujini

Watoto wa Mujini

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Ni wajanja sana wanajua kuchuna hata kwenye hali hii hawakosi chakuongea utatoa tu hela na vitu wanavyokuambia wala hutakataa .
Nakodi utalipa kabisa na hata ukitubania sisi akina katoto kazuri utatoa kwao.
Huna chakusema wewe unajikuta unatoa tu hela au chochote anachokitaka.
Hata ukiwa makini ukirudi kwake tu utatoa hela.
Halafu ikute ulimtapeli mkeo nahujampa matumizi.
Wao wanasifa zifuatavyo mdomo mtamu wanapendeza na wamejipanga so wewe unaingia tu kicha kichwa mpaka unakopa tu ili umfungulie biashara.
Nawengi wenu mnajikuta mmekuwa watumwa wa mapenzi
Humu mtaongea ila kweli watu humu mmechunwa mpaka basi.
Utatoa hadi hela ya gari asitembembee na miguu na pia utatafuta taxi ya hali ya juu utamtoa out za maana na wala yeye hataonja mateso kila siku.
Utajituma kama nini yaani huamini.
#tag IQ Zero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee sijui hata umeandika nn mbona hakieleweki we mrembo!
 
Mkuu Nokia yakweli haya?
 
IQ ZERO shida yake papuchi na ana madau makubwa ndio maana totoz hazimtemi.
Naomba kuuliza mwanaume akikufanyia hayo yote ulioandika na papuchi umemgea itakuwa umemchuna?
au pengne kuchuna ina maana tofauti na mm navyojua!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchuna nitofauti na kupewa kama anakupa kwa hiari yake hujamchuna amekupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wajanja sana wanajua kuchuna hata kwenye hali hii hawakosi chakuongea utatoa tu hela na vitu wanavyokuambia wala hutakataa .
Nakodi utalipa kabisa na hata ukitubania sisi akina katoto kazuri utatoa kwao.
Huna chakusema wewe unajikuta unatoa tu hela au chochote anachokitaka.
Hata ukiwa makini ukirudi kwake tu utatoa hela.
Halafu ikute ulimtapeli mkeo nahujampa matumizi.
Wao wanasifa zifuatavyo mdomo mtamu wanapendeza na wamejipanga so wewe unaingia tu kicha kichwa mpaka unakopa tu ili umfungulie biashara.
Nawengi wenu mnajikuta mmekuwa watumwa wa mapenzi
Humu mtaongea ila kweli watu humu mmechunwa mpaka basi.
Utatoa hadi hela ya gari asitembembee na miguu na pia utatafuta taxi ya hali ya juu utamtoa out za maana na wala yeye hataonja mateso kila siku.
Utajituma kama nini yaani huamini.
#tag IQ Zero

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni radha ya papuchi tunazopewa huko nje kwa watoto wa mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom