Kwan mkuu makambako unafanyako nini?Wenyeji wangu ambao mko jf mnielekeze Chimbo zuri la gambe!
Na madem wakali wa kuondoka nao!
Uwe tu makini wewe unayetaka machimbo Makambako, panaongozi kwa wingi wa maambuzi ya ukimwi duniani. Jitafakari, chukua hatua.Wenyeji wangu ambao mko jf mnielekeze Chimbo zuri la gambe!
Na madem wakali wa kuondoka nao!
Mkuu zana ninazo usijali!Uwe tu makini wewe unayetaka machimbo Makambako, panaongozi kwa wingi wa maambuzi ya ukimwi duniani. Jitafakari, chukua hatua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asije akawa anatafuta kifo cha kujitakia,mwisho wa siku anakuwa anapambana na hali yake kitandani.Uwe tu makini wewe unayetaka machimbo Makambako, panaongozi kwa wingi wa maambuzi ya ukimwi duniani. Jitafakari, chukua hatua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa,usije ukasahau kuzitumia,wengine husema huwa zinawaumiza.Ninazo kondomu