Wanawake?

Wanawake?

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,036
Reaction score
2,238
Nimechunguza nimeona mwanamke anakuwa mgumu sana kumkubali mwanaume alie single? Ila anakuwa mwepes kumkubali mwanaume alieko kweny mahusiano yake hasa wale waliopo kweny strong relationship awe na ndoa au asiwe na ndoa...sijajua kuwa huwa wanawazaga nn na kupenda nn. Kipindi nipo single walikuwa wananikataa sana now dayz nipo na bibie wangu napata mialiko ya kutosha na wengine wananiambia mpaka hisia zao dahh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHEITWAAN YUPO KAZINI...SHEITWAAN HUWA HANAGA SHIDA NA MLEVI ALIYEPO BAR...ANAHANGAIKA NA MTUMISHI ALIYEPO KANISANI AMLETE BARA ANYWE...NA ANAWEZA KUTUMIA MAANDIKO HAYO HAYO YA KWENYE BIBLE KUMSHAWISHI MTUMISHI KWENDA BAR...HATA SERENGETI ANAWEZA IITA DIVAI...

Umesahau ule usemi wa "MTI WENYE MATUNDA...."
 
Siku magonjwa yakianza kuongozana ulete tena thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] shetan alifanyaga mke/mume/mpenzi wa mtu aonekane Mtamu.

Mwanamke yupo tayar kukupa mzigo, ili tu alale naww kwaajili ya kumkomoa mkeo.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
[emoji28][emoji28][emoji28]anaweza mwambia mkeo kuwa ushamla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo shetani hana muda na mzee likwidi? Ipa mkichangia bila kubugudhi walevi Mungu atawapunguzia thwawabu??
SHEITWAAN YUPO KAZINI...SHEITWAAN HUWA HANAGA SHIDA NA MLEVI ALIYEPO BAR...ANAHANGAIKA NA MTUMISHI ALIYEPO KANISANI AMLETE BARA ANYWE...NA ANAWEZA KUTUMIA MAANDIKO HAYO HAYO YA KWENYE BIBLE KUMSHAWISHI MTUMISHI KWENDA BAR...HATA SERENGETI ANAWEZA IITA DIVAI...

Umesahau ule usemi wa "MTI WENYE MATUNDA...."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechunguza nimeona mwanamke anakuwa mgumu sana kumkubali mwanaume alie single? Ila anakuwa mwepes kumkubali mwanaume alieko kweny mahusiano yake hasa wale waliopo kweny strong relationship awe na ndoa au asiwe na ndoa...sijajua kuwa huwa wanawazaga nn na kupenda nn. Kipindi nipo single walikuwa wananikataa sana now dayz nipo na bibie wangu napata mialiko ya kutosha na wengine wananiambia mpaka hisia zao dahh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app

True kuna dem nlikuwa namfuatilia akawa anazingua baada ya kujua nna dem mtaa wa pili naye kaanza kunifuatilia eti ooh nakupenda da nashindwà kuwaelewa kabisa
 
Nimechunguza nimeona mwanamke anakuwa mgumu sana kumkubali mwanaume alie single? Ila anakuwa mwepes kumkubali mwanaume alieko kweny mahusiano yake hasa wale waliopo kweny strong relationship awe na ndoa au asiwe na ndoa...sijajua kuwa huwa wanawazaga nn na kupenda nn. Kipindi nipo single walikuwa wananikataa sana now dayz nipo na bibie wangu napata mialiko ya kutosha na wengine wananiambia mpaka hisia zao dahh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachosababisha unapigwa chini ni kumtaka sana mwanamke!
Mwanamke ukimkomalia kumtaka sana anaanza kuleta nyodo zinakuwa nyingi hadi unapigwa chini.

Ila ukiwa kwenye mahusiano automatically hauwezi kumkomalia kiivo wakati unajua hauna nyege. kwanza akileta uzingizi hasira unaenda kumalizia kutafuna papuchi ya dem/mke ulienae.

Mimi naona yote sawa tu uwe singo au kwenye mahusiano mwanamke anakukubalia easy tu cha msingi usi active nyodo zake.
 
Hii ndio rule!

Ukiwa single utakuwa so desperate na ukiwa desperate utajiliza sana, utaonesha unamtaka sana kama vile maisha hayatoenda bila kumpata. What happens demu anaanza maringo na kukupusha away cause you seem to need her too much.

The opposite is when ukiwa na mwanamke wako, kwanza utamtongoza ukiwa relaxed sana. Unaweza usiwe serious kabisa kuhusu hitaji lako ila atakupa attention ya nguvu. Ndio inakuja hio dhana ya kwamba ni rahisi sana kumpata mwanamke ukiwa tayari una mwanamke. Ni after effect tu ya kutoonesha njaa sana!
 
Nimechunguza nimeona mwanamke anakuwa mgumu sana kumkubali mwanaume alie single? Ila anakuwa mwepes kumkubali mwanaume alieko kweny mahusiano yake hasa wale waliopo kweny strong relationship awe na ndoa au asiwe na ndoa...sijajua kuwa huwa wanawazaga nn na kupenda nn. Kipindi nipo single walikuwa wananikataa sana now dayz nipo na bibie wangu napata mialiko ya kutosha na wengine wananiambia mpaka hisia zao dahh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
lucifer yupo kazin

True that.
 
1.huyo mwanaume ameshakuwa na technics za kushawishi.
2.katika mazingira yakukuweka ukubali yanatamanisha nitofauti na huyu single yeye huwa atengeneza mazingira ya kutega ndege kabisa mitego .
So wao wanaenda kama wao kuwinda hana vitendea kazi nani amkubali??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechunguza nimeona mwanamke anakuwa mgumu sana kumkubali mwanaume alie single? Ila anakuwa mwepes kumkubali mwanaume alieko kweny mahusiano yake hasa wale waliopo kweny strong relationship awe na ndoa au asiwe na ndoa...sijajua kuwa huwa wanawazaga nn na kupenda nn. Kipindi nipo single walikuwa wananikataa sana now dayz nipo na bibie wangu napata mialiko ya kutosha na wengine wananiambia mpaka hisia zao dahh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umesahau kuwa mwenye nacho ataongezewa!

Kiboko ya ke ni ke mwenzake. Hiyo ndiyo rule namba 01 kwangu.

Siku ukiwa vizuri nitakufafanulia vizuri. Sijawahi kuangushwa na mbinu za kuwapata hawa wenzetu kutoka mbavuni mwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Psychological mwanamke anapotongozwa na mume wa mtu anaona kuwa yupo juu zaidi kwa sababu mume wa mtu ameacha mkewe.

Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda waume za watu! Nathibitisha. Kwa hiyo siku ukioa tambua wazi kwamba vita inaanza, sio imekwisha. Hapo ndipo utaona rafiki wa kike kaiba mume wa mtu.

Wenyewe huona sifa. Uliye single unaweza toa mpaka mshahara wote ukaambulia msoto, mume wa mtu anagusa mara moja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndg yng we msimu mzima upo tu home timu huna nani ashoboke kukusajili? Watu wanataka wakuone leo upo kwenye ligi kesho umecheza FA hujakaa sawa una mechi ya kimataifa hpo lazma upokee ofa hadi kichwa kiume!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom