MSAMAHA

MSAMAHA

meghan markle

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Posts
489
Reaction score
1,197
Hivi mtu anapoombwa msamaha na kukataa kusamehe anajiskiaje??
Imagine umetofautiana na mtu na ili kurudisha amani na furaha ya mwanzo unaamua ujishushe na kuomba msahama. Kuomba huku msamaha haimaanishi kua wewe ndo mwenye makosa sana ; hapana bali wote wawili mmekwazana lakini unaamua kua THE BIGGER PERSON na ku initiate mazungumzo ili msameheane.
Lakini sasa upande wa pili wa huyu mlietofautiana, unaomba msamaha lakini inakua kama ndo kashikilia dhamana ya urafiki wenu au mahusiano yenu.
Sijui kama ni mimi tu ama na wengine mko hivi. Mimi inapotokea nimetofautiana na mtu, nitapenda tukae na tuongee kila mtu ajue amekosea wapi kisha tumalize kwa msamaha....yani by the time tunasema tusameheana tuanze upya basi niwe na amani kua nimeomba msamaha kwa kosa nililoli acknowledge na mwenzangu pia awe ameacknowlege kosa lake.
Msamaha ule wa mmoja kukataa kuongea bali anang'ang'ania kua tuyamalize kwangu hua sio msamaha bali ni "FUNIKA KOMBE...." na hua ina ni disturb sana.
Yani kuna watu wako hivyo tu, yeye anataka aombwe msamaha bila kutambua kua katika huko kutokuelewana na yeye pia amechangia kiasi fulani hivyo anatakiwa kuomba msamaha.....na still anakua mgumu ku acknowledge msamaha mwenzake. Ni kama mtu anaetaka akutese kisa tu umeomba msamaha ko anataka asamehe on his/her terms, when she feels like it.
Naamini katika mahusiano ya kikazi, ndoa, uchumba,biashara etc....msamaha mzuri ni ule mnaokaa na kureason sababu ya kukosana kwenu kisha mnamaliza kwa forgiveness.
 
Luka 17:4 “Na kama akikukosa mara saba katika siku moja, na kurudi kwako mara saba, akisema, Nimetubu, msamehe.

Msamaha pia unaongelewa au umejumuishwa kwenye sala ya Bwana. Kama hausamehi nawe husamehewi

katika Mathayo 6:9-13 na Luka 11:2-4. Mathayo 6:9-13 yasema, “Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe leo riziki yetu. Utusamehe deni zetu, kama sisi tuwasamehevyo wadeni wetu. Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na Yule mwovu.”
 
kuna na wale ambao wanapenda wawe wanaombwa msamaha wao tu kila siku hata kama wao ndo wenye makosa.
Au unakuta mtu umejishusha umeomba msamaha hata kama kosa ni dogo tu ila mtu bado anabeba kitu moyoni na kuifanya kama ndo fimbo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama uko kuchwani kwangu nawaongelea watu design hiyo. Muda wote anataka yeye aombwe msamaha, haoni kua yeye pia anamapungufu na hata mnapoliangalia kosa anali "frame" in way that wewe ndo unakua umebeba lawama .Yani anaona kama kukubali kua amekosea itamshushia points.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na aina ya kosa,makosa mengine hayana msamaha....ni hukumu tu.
Equation x sio kila kosa ni la hukumu. Binadamu tunapishana kila siku, utahukumu wa ngapi?
Kuna makosa ya kuhukumu ,sikatai ila kuna haya ya kila siku mmepishana kauli au mtu kafanya kitu baade kika turn out vibaya kwasabu hakua informed vizuri... vitu kama hivyo.
Sasa hapo unakuta yeye ndio kakosea ikibidi imekugharimu pesa ama reputation yako lakini in a way labda na wewe hukumwelekeza vizuri ikapelekea yeye kukosea. Ina maana hapo wote mnamakosa.
Kuliko uhukumu kwanini msikae muongee, m-reason then msameheane??
In scenarios like these mmoja lazima ajishushe sasa akijishusha yaishe huyu mwingine analishikilia hataki Ku reconcile!

Nimekuelewa kuna misamaha mingine inaendana na 'reward' hasa kwenye mahusiano;unatafuta nafasi mnaenda eneo tulivu huku mkipata kinywaji baridi,na baadaye unamuomba msamaha kwa unyenyekevu pamoja na kumtunuku; kesi inakuwa imeisha.
 
kuna makosa ya kudhamiria....nione atafanyaje.......nakusamehe ila shika njia yako....nisamehe pia....
 
Pole sana...

Mtu wa namna hiyo unaachana nae, kwa sababu anatabia za kususa susa, mara nyingi wanakua watu wa visasi...

Cc: mahondaw
 
Hahahaha Umenikumbusha demu wangu mmoja alkua mlokole cku moja j2 kaenda kanisani mchungaji akamwambia amepewa maono kene ndoto kua mwanaume anae date nae sio chaguo la mungu.
Kesho yake akarudi akaniambia mm sio type yake akasenipiga kibuti kwa mbwembwe zote.
Baada ya Miezi miwili yule mchungaji akamtongoza yule demu wangu.
Demu akanirudia analia anaomba msamaha turudiane kwasababu amegundua kua yule mchungaji akua na nia nzuri.
Cku hyo ndo niliwajua wanawake wakoje.
#true story
 
kuna na wale ambao wanapenda wawe wanaombwa msamaha wao tu kila siku hata kama wao ndo wenye makosa.
Au unakuta mtu umejishusha umeomba msamaha hata kama kosa ni dogo tu ila mtu bado anabeba kitu moyoni na kuifanya kama ndo fimbo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina rafiki yangu wa hivi, nilipogundua ndivyo alivyo niliamua mimi kumuelewa. Hivyo alikuwa akinikosea basi mimi ndio naomba msamaha lakini nitahakikisha namfundisha kuwa yeye ndio alinikosea.
Taratibu alijifunza kupitia hilo na hata yeye huwa anakiri kuwa mimi ndio nilimfundisha kuomba msamaha. Kitu alichokuwa hawezi hapo awali.

Mimi ndio rafiki yake pekee wa muda mrefu maana wengine wote alishavurugana nao.
 
I will never forgive her everyday when i remember i end up crying

My heart flows with blood !

I pray to God to give me strength of forgiving her daily

It is pain a deep one , hard to explain !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu anapoombwa msamaha na kukataa kusamehe anajiskiaje??
Imagine umetofautiana na mtu na ili kurudisha amani na furaha ya mwanzo unaamua ujishushe na kuomba msahama. Kuomba huku msamaha haimaanishi kua wewe ndo mwenye makosa sana ; hapana bali wote wawili mmekwazana lakini unaamua kua THE BIGGER PERSON na ku initiate mazungumzo ili msameheane.
Lakini sasa upande wa pili wa huyu mlietofautiana, unaomba msamaha lakini inakua kama ndo kashikilia dhamana ya urafiki wenu au mahusiano yenu.
Sijui kama ni mimi tu ama na wengine mko hivi. Mimi inapotokea nimetofautiana na mtu, nitapenda tukae na tuongee kila mtu ajue amekosea wapi kisha tumalize kwa msamaha....yani by the time tunasema tusameheana tuanze upya basi niwe na amani kua nimeomba msamaha kwa kosa nililoli acknowledge na mwenzangu pia awe ameacknowlege kosa lake.
Msamaha ule wa mmoja kukataa kuongea bali anang'ang'ania kua tuyamalize kwangu hua sio msamaha bali ni "FUNIKA KOMBE...." na hua ina ni disturb sana.
Yani kuna watu wako hivyo tu, yeye anataka aombwe msamaha bila kutambua kua katika huko kutokuelewana na yeye pia amechangia kiasi fulani hivyo anatakiwa kuomba msamaha.....na still anakua mgumu ku acknowledge msamaha mwenzake. Ni kama mtu anaetaka akutese kisa tu umeomba msamaha ko anataka asamehe on his/her terms, when she feels like it.
Naamini katika mahusiano ya kikazi, ndoa, uchumba,biashara etc....msamaha mzuri ni ule mnaokaa na kureason sababu ya kukosana kwenu kisha mnamaliza kwa forgiveness.
Well said!!

From profile picture to proper future
 
Kuna mmoja huyo yeye ndio anataka aonekane kidume, yan unwomba msamaha usiku mzima mpaka kunakucha unaomba tuuu hahaha mtu ukiombwa msamaha haijalishi kosa hata liwe kubwa mfano wa kontena umeshaonesh kua umekubali umekosea na yaishe

Back
Top Bottom