Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama kuchapiwa demu inauma mke je? Maumivu ake vipi hapo? Wengi humu JF tunachukulia easy tu coz wengi humu hatujaoa hatukutani nayo, wanayokutana nayo wanajua uchungu. Je, ni adhabu gani...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau eti ukitafutiwa mtu nisahihi? Labda wewe ni msichana mtu akadecide kukutafutia mupenzi hii inakuwaje hali hii imeshakutokea?? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Swali hili ni mahususi kwa wanaume lakini hata wanawake pia ruksa kutupa uzoefu wenu na yale mliyoyapitia katika mahusiano kwa ujumla. Wanaume wa MMU naombeni leo mfunguke Mnapokuwa kwenye...
2 Reactions
172 Replies
20K Views
Habari zenu jukwaani. Nimempata mpenzi mpya siku za karibuni na ni mtundu kitandani ile mbaya. Tulipoanza mapenzi mwezi wa tisa mwaka huu, mambo yalikuwa mazuri tu. Ila siku zinavyosonga tukiwa...
3 Reactions
121 Replies
19K Views
MIMI : Baba nifundishe kuhusu wana wake BABA : nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake !?. Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakuwa kiasi cha kuhitaji elimu...
24 Reactions
158 Replies
12K Views
Natumai mko wazima wote Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka.. Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia...
5 Reactions
90 Replies
6K Views
Mkawe na maandalizi mema kuelekea wikendi. Msisahau kusali leo kabla na baada ya tendo!.. (Mama mchungaji wangu sijamuona siku ya pili humu)
0 Reactions
12 Replies
15K Views
Kwema wadau hope mko poa Kesho ni jumapili ni siku ya kutafakari mambo mengi ya kiroho na kuungama na kua watakatifu, hivyo basi wewe kaka na wewe dada mliopanga kujigijigi/ kuto...na baada ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumai wazima wote. Naomben mawazo yenu hasa wanawake mlioko kwenye ndoa Mi nipo ndoan miez michache tu nimeolewa baada ya miez 2 akaja mtoto wa wifi yangu naishi nae hapa Sasa Kuna vitabia...
11 Reactions
130 Replies
14K Views
Jamani najisikia kufanyiwa massage hebu naombeni mnisaidie sehemu gani hapa dar,iwe yenye Bei nafuu tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanawake ni watu wa kujisahau sana. Akijihakikishia kuwa yupo peke yake, na mume aliyenaye kuwa kwake ndio kafika na Hana uwezo wa kuwa na mwanamke mwingine , , ,Basi huwa wanajisahau Sana na...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Poleni na majukumu ya siku. Husika na heading hapo juu. Nimeona mara nyingi, na mimi mwenyewe yamewahi kunitokea, ukimgegeda mtumishi ambaye Unamsimamia ghafla demu huyo lazima awe na majivuno...
2 Reactions
24 Replies
9K Views
Alafu mda huu unakuja jf unatafuta nini.. Binafsi natafuta wachchu lakini mpaka saa izi bila bila[emoji28] However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau hi Go to the direct point. Unataka kuoa ila unawanawake wawili kama wapenzi. 1.yeye anapenda hela na kuvaa vizuri na kutolewa out. Yeye anapenda kununa kama humtoi Ila kisa cha kutomwacha...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
NIMESHANGAZWA SANA NA MAJIBU YA MAMA WA RAFIKI YANGU. Wakuu, Kuna rafiki yangu huku kitaa amekuwa aki_date na manzi fulani ambaye kiumri wanalandana, Ila huyo manzi ana mtoto wa miaka minne...
16 Reactions
75 Replies
11K Views
Habari za jioni wana jf, Nimekuja bar moja hapa Morogoro, nimeagiza kinywaji na kuanza kutumia, baada ya kama dk tano nikageuka nyuma na kukutana na watoto wakali sana kama kumi na tano wamevalia...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Umewahi kutwa na tukio la aibu kiasi cha kukufedhehesha sana ila sasa huna namna ndo lishatokea. Vip bado linakutesa kihisia hadi leo, hebu tupe mkasa ilikuaje. Mi niliwahi pata tukio la aibu...
42 Reactions
645 Replies
82K Views
Hakuna kuoa mwanamke mwenye mtoto (aliezalishwa) . . unawezaje kuingia uwanjani wakati tayari ushafungwa magoli? . . kuoa mwanamke aliezalishwa ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro.
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Nifanyeje mpenzi wangu nikiongeanae kwenye sim hunijali sana yan anaonesha kunipenda sana ananipigia message kama kawaida ila tukikaa pamoja nyumban haipiti wiki bila kugombana bila kubishana kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…