SIKU HIZI HAWA VIUMBE HAMUWATAKI AU?

SIKU HIZI HAWA VIUMBE HAMUWATAKI AU?

Rk10

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,216
Reaction score
1,375
Habari za jioni wana jf,

Nimekuja bar moja hapa Morogoro, nimeagiza kinywaji na kuanza kutumia, baada ya kama dk tano nikageuka nyuma na kukutana na watoto wakali sana kama kumi na tano wamevalia tisheti zilizoandikwa jina la hiyo bar. Kiukweli ni wazuri sana na hata sijui wametokea mkoa gani.

Nilishangaa sana ikabidi nimwite mmoja lakini cha kushangaa zaidi walikuja zaidi ya wanne na kiukweli wana kila sifa, bila iyana ikabidi niwaagizie kinywaji kila mmoja na tukaanza kupiga story.

Nikawauliza mbona mlikaa kwa kujikunyata vile? Wakanijibu kuwa siku hizi wateja hamna, na hata wakija wanakula na kunywa peke yao siyo kama zamani.

Wakasema zamani walikuwa wanakula na kunywa watakavyo na wanaume walikuwa na Upendo sana ila kwa sasa hawajui ni nini kimewapata wanaume!

Wakaniambia siku hizi hata zile kauli za keep chenji hamna kabisa.

Sasa najiuliza, siku hizi atuwataki hawa wanawake? Au kuna kingine wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kumuuliza mmoja Kwamba munalipwa Shi ngapi akaniambia Kwamba ukimaliza kireti moja unapewa 1000 nikamuuliza mbona ndogo Sana na nyinyi munaonekana kumiliki vitu vya gharama akasema wanategemea ofa za wanaume
 
Hapana zamani ulikuwa utoto unawasumbua wazee
Lakini sasa wamekuwa na hao wajifunze pia kuishi kwa mshahara kama dunia inavyokwenda
Haya maisha ya kupenda vya bure yaishe
Mbona Ayia Napa wanahudumia na kuondoka tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Habari za jioni wana jf,

Nimekuja bar moja hapa Morogoro, nimeagiza kinywaji na kuanza kutumia, baada ya kama dk tano nikageuka nyuma na kukutana na watoto wakali sana kama kumi na tano wamevalia tisheti zilizoandikwa jina la hiyo bar. Kiukweli ni wazuri sana na hata sijui wametokea mkoa gani.

Nilishangaa sana ikabidi nimwite mmoja lakini cha kushangaa zaidi walikuja zaidi ya wanne na kiukweli wana kila sifa, bila iyana ikabidi niwaagizie kinywaji kila mmoja na tukaanza kupiga story.

Nikawauliza mbona mlikaa kwa kujikunyata vile? Wakanijibu kuwa siku hizi wateja hamna, na hata wakija wanakula na kunywa peke yao siyo kama zamani.

Wakasema zamani walikuwa wanakula na kunywa watakavyo na wanaume walikuwa na Upendo sana ila kwa sasa hawajui ni nini kimewapata wanaume!

Wakaniambia siku hizi hata zile kauli za keep chenji hamna kabisa.

Sasa najiuliza, siku hizi atuwataki hawa wanawake? Au kuna kingine wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
first Man in the moon........spying what.is origin of Moon......?

Hali ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi watu wakikanyaga tu mlango wa bar wanakuwa makauzu.
 
Back
Top Bottom