Mwanaume usifanye kosa la kutembea na mdogo wa mkeo, secretary, msichana wa kazi

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,312
2,000
Poleni na majukumu ya siku.

Husika na heading hapo juu.

Nimeona mara nyingi, na mimi mwenyewe yamewahi kunitokea, ukimgegeda mtumishi ambaye Unamsimamia ghafla demu huyo lazima awe na majivuno na mazalau kwa watumishi wengine au watu wanaowajibika kwako.

Mfano mwepesi ni pale mabosi wanapokuwa na mahusiano na masectritary wao..... Kila anaye kuja kumtafuta bosi, ajiandae kukutana na mizalau na kushushwa chini. Utajibiwa. Majibu ya mikato hadi utajidharau.

Mfano mwingine ni pale Baba unapoamua kumgegeda house girl... Dharau na makwazo atakayokutana nayo mke wako utajuta kumfahamu house girl huyo.

Au uingie chaka umgegede mdogo wake na wife wako, kama unaishi na Ndg zako watajuta kumfahamu. Si kwa shobo na majovuno. Hata wife wako atakosa nguvu ikiwa atachukua maamuzi ya kumrudisha kijijini sikimbi.

Swali langu ni kwamba ni kitu gani hasa upelekea tabia hii...???

Je heshima ya mtu ni uchi wake? Akiuona tu imekula kwako.

Karibuni kwa mjadala huu.

Rwgards.
 
zadrackshadi

New Member
Oct 24, 2017
1
20

mimi ni mgeni hapa lakini naona hoja yako ni moto kweli
 
CTX

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
1,273

utavuna ulichokipanda
 
JWKRMM

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,561

Ni kweli kabisa unachosema. Hali hiyo pia hujitokeza ukifunga ndoa na mwanamke iwapo hujafunga naye ndoa unapoishi naye anakuwa na heshima ukifunga naye ndoa tuu utajuta kumfahamu. Nadhani hali hiyo kwa mwanamke humfanya ajione mwenye ushindi na mafanikio makubwa hivyo hujiona thamani yake inazidi watu wote ukiwemo wewe mwenyewe anakuona

Siyo hivyo tuu hata kama ulikuwa unaishi na mwanamke bila ndoa ikifunga naye ndoa tuu utajuta kumfahamu. Unabadilika heshima zote zinakwisha unakuona hunamaana yaani anakuwa na nyodo sana. Nadhani hali hiyo ya kutembea na wewe humfanya ajione amefikia mafanikio ya juu kabisa hivyo hata wewe unakuona upo chini yake wakiwemo hao anaowaonesha nyodo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom