Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana MMU. Baada ya mke wangu kugundua mimi ni mlevi wa mpira,yani kwa sasa nashindwa kumuelewa ana maana gani,wakati mahitaji yote. Alhamisi niliporudi kutoka kazini,mke wangu...
0 Reactions
58 Replies
12K Views
Mtaishi wapi baada ya ndoa na kwanini (Where will you live after marriage and why?)
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukweli nikiri kuwa kwangu mimi Uchumi umeyumba Sana, Lakini Alhamdulillah pesa ya kula watoto inapatikana. Mke wangu katika kiduka chake mambo yanaendelea hapa na pale anapata chochote lakini mmh...
13 Reactions
28 Replies
5K Views
Mpo poa? Rafiki yangu amempata mchumba wakaanza urafiki walipendana sana na wameonana usidhani hawaonani . Basi kuna siku kaomba aje mahali mpenzi wake kamuita wakala wakafurahia hiyo siku. Ila...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Ndugu wa na JF habari ya chrismass !! Nimatumaini yangu mko Salama salimini na bila Shaka mmesali na mko safi majumbani kwenu Kama ilivyoelezwa nahitaji kuanza MWAKA 2019 kwa tofauti sana Mm...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kawaida nina mchumba Ila tuko now parallel. Niko naomba msamaha sana ili kuishi naye kwa amani hata simu hapokei. Najaribu kuonesha mapenzi ya dhati ila hajali maumivu yangu. Tafadhali...
3 Reactions
85 Replies
6K Views
. One of the most delicate relationship problems is the issue of EX LOVERS. Keeping a close contact with your EX is not advisable if you have started another relationship. Also friendship with an...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Duu maisha yapo speed sn.Nipo na mshkaji ana bagain bei na bi mdashi.Kaambiwa 5000 chap,daah ningekuwa mdau wa mambo haya ningefaidi sn.God forbid.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana. licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa...
9 Reactions
145 Replies
10K Views
Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiana kati ya Mwanaume na Mwanamke Aidha , Wataalamu kadhaa wamegundua kuwa tendo la ndoa aka kugegedana ni Raha nambari moja na kuu kuliko zote kwa bianadamu kwa...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
KWELI DUNIANI KUNA MENGI. Nimekutana nahii aisee nimetoa machozi.......!!! Alimpenda mno mke wake, alijitahidi kumpa mkewe kila kitu kilochopo ndani ya uwezo wake, lakini mke wake hakuwa...
2 Reactions
64 Replies
10K Views
Ni kweli sifa kuu ya Mwanaume ni kumtunza mke wake na watoto, lakini Mwanamke pia anatakiwa kumsaidia mpenzi wake mambo yakikwama, Dunia ya sasa imebadilika. Ni hivi Nimekuwa na mahusiano na...
7 Reactions
19 Replies
5K Views
Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiana kati ya Mwanaume na Mwanamke Aidha , Wataalamu kadhaa wamegundua kuwa tendo la ndoa aka kugegedana ni Raha nambari moja na kuu kuliko zote kwa bianadamu kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Umefika wakati na sisi tunahitaji ndoa za mikataba wa kipindi kifupi, ambapo wanandoa wataweza kuongeza muda au kuvunja mkataba. Hii italeta changamoto kwa wanandoa ili waweze kufanya vizuri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mambo wadada ( rafiki Zangu) Kidogo naomba tukumbushane wajibu wetu katika mahusiano. Najua hakuna asiyependa mahusiano yake au maisha yake ya kimapenzi yaende Mrama. Sote tunapenda...
42 Reactions
306 Replies
19K Views
Na amini dunia ilikuwa sehem salama Ila alipo letwa mwanamke mambo yote yakawa yalivyo Sasa, Kuwa mama Bora,sikufanya wa toto wamchukie baba yao, Bora kuishi Na mwanamke -MALAYA Ila sio mchawi...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Mfano ukiwa na girl friend wako au ukiwa na mkeo ni aina gani ya utii mwanume anahitaji mke wake awe nao kwake, kuna mambo ambayo wanaume hawapendi waulizwe akiulizwa tu anasema huyu mwanamke sio...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana...
4 Reactions
103 Replies
9K Views
Mwanaume au mwanamke wa kweli ni yule anayemlinda na kumtunza mwenza, Je ni kweli na tunafanya hivyo? kivipi, wengine tunakuwa makatili na kuwaumiza wengine mnaonaje tubadilike au tuachane kabisa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu shekh mimi ananikosha sana.. Basi wana jamvi nimeona niwe naenda kusikiliza mawaidha yake. Kwa yeyote anayejua msikiti anaoswarisha huyu shekh Kipozeo tafadhari niambie nianze kwenda kupata...
1 Reactions
0 Replies
616 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…